Mkuu wa wilaya Ilemela aachia ngazi

Mkuu wa Wilaya ya Ilemela , Dk Leonard Masale, ameachia ngazi baada ya kufikisha umri wa kustaafu.

Akithibitisha taarifa hizo mchana wa leo Julai 5, Dk Masala amesema hayuko ofisini tangu Julai Mosi baada ya kufikia umri wa miaka 60, ambao ni wa kustaafu kwa lazima kwa mtumishi wa umma.

Amesema hivi sasa nafasi yake inakaimiwa na Mkuu wa Wilaya ya Magu, Khadija Nyembo, na yeye tayari amepokea mafao yake ya kustaafu kutoka mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma, PSPF, baada ya kuwaandikia barua kuwajulisha kuhusiana na kustaafu kwake miezi sita iliyopita.

Hata hivyo, kiongozi huyo amesema yuko tayari kulitumikia taifa katika nafasi yoyote atakayopewa iwapo atahitajika kwani hajachoka nab ado ana uwezo wa kufanya kazi.

Chanzo: Mwananchi
Angela kairuki hebu tufafanulie hili; Cheo cha Dc au Rc ni cha kisiasa au hawa nao ni watumishi wa umma, wakati unajibu hili ukumbuke history ya serikali hii; leo wanasema hili kesho tukiamka hatujui watasema nini
 
Mkuu wa Wilaya ya Ilemela , Dk Leonard Masale, ameachia ngazi baada ya kufikisha umri wa kustaafu.

Akithibitisha taarifa hizo mchana wa leo Julai 5, Dk Masala amesema hayuko ofisini tangu Julai Mosi baada ya kufikia umri wa miaka 60, ambao ni wa kustaafu kwa lazima kwa mtumishi wa umma.

Amesema hivi sasa nafasi yake inakaimiwa na Mkuu wa Wilaya ya Magu, Khadija Nyembo, na yeye tayari amepokea mafao yake ya kustaafu kutoka mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma, PSPF, baada ya kuwaandikia barua kuwajulisha kuhusiana na kustaafu kwake miezi sita iliyopita.

Hata hivyo, kiongozi huyo amesema yuko tayari kulitumikia taifa katika nafasi yoyote atakayopewa iwapo atahitajika kwani hajachoka nab ado ana uwezo wa kufanya kazi.

Chanzo: Mwananchi
Kumbe lumutuz alistaafu kuendesha gari la taka usa kwa sababu ya umri
 
Kwa title hiyo utapata views nyingi sana za bavicha.
Njoo basi uchangie lakini ujibu swali la msingi; Rc na Dc ni vyeo vya kisiasa au watumishi wa umma? maana Dc tayari kala mafao kama mtumishi wa umma. Na ukijibu hili swali mwambie Bashite atuletee vyeti vyake
 
Mkuu wa Wilaya ya Ilemela , Dk Leonard Masale, ameachia ngazi baada ya kufikisha umri wa kustaafu.

Akithibitisha taarifa hizo mchana wa leo Julai 5, Dk Masala amesema hayuko ofisini tangu Julai Mosi baada ya kufikia umri wa miaka 60, ambao ni wa kustaafu kwa lazima kwa mtumishi wa umma.

Amesema hivi sasa nafasi yake inakaimiwa na Mkuu wa Wilaya ya Magu, Khadija Nyembo, na yeye tayari amepokea mafao yake ya kustaafu kutoka mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma, PSPF, baada ya kuwaandikia barua kuwajulisha kuhusiana na kustaafu kwake miezi sita iliyopita.

Hata hivyo, kiongozi huyo amesema yuko tayari kulitumikia taifa katika nafasi yoyote atakayopewa iwapo atahitajika kwani hajachoka nab ado ana uwezo wa kufanya kazi.

Chanzo: Mwananchi

duh! kustaafu tena! hivi si vyeo vya kisiasa
 
Khaaa,, sema amestaafu sio kuachia ngazi kama vile ameamua mwenyewe kuacha kazi au amefukuzwa,, rekebisha kichwa cha habari hicho
mi naona kustaafu ni kama kufukuzwa kazi tu ,iweje mpaka upewe barua ya kustaafu ndio uachie ngazi
 
lakini amestaafu kisa umri na vipi tena anadai bado yuko fiti ikiwa atagitajika atarejea..Mhh! ther'ar somethin wrong hapi.
 
Kuna ma DC Aina 3 au zaidi...
Wale wanaopand ngazi moja hadi ingine hadi wanafikia level DC.....watumishi wengi maafisa elimu wanafikia level inabidi waende DC....kuna wengine wanateuliwa kisiasa (makada)....na wale wa zawadi....watoto wanasiasa etc...
Ukiwa mtumishi wa umma...ukifikisha umri kustaafu inabidi ustaafu upate chako.....Rais akitaka uendekee kama zile za kuteuliwa kisiasa...unaendelea Ukiwa na mkataba wa miaka 5 kwa kila awamu.....nadhani yeye amemaliza utumishi wake anasubiri ateuliwe kama kada!!!
Duhh.....
Kwa nafasi yau DC, sio rahisi kuiachia kwasababu ni tunuku.
Na inapo tokea kung'atuka kama hivyo, lazima pakue na sababu.
Nasubiri kusikia kwanini ameachia ngazi
 
Mkuu wa Wilaya...
Akithibitisha taarifa hizo mchana wa leo Julai 5, Dk Masala amesema hayuko ofisini tangu Julai Mosi baada ya kufikia umri wa miaka 60, ambao ni wa kustaafu kwa lazima kwa mtumishi wa umma.

Chanzo: Mwananchi
Mbona Kairuki alisema hiyo nafasi sio utumishi swa umma, jamani!
 
Wameanza kuandika tena Vibaya watu ambao hata sijawasiliana nao (Waandishi wa Habari, ninaomba mrekebishe lugha mnayotumia kuwa nimestaafu kwa kutokuridhishwa na Utendaji wa Serikali. Mimi nimestaafu utendaji serikalini kwa Ngazi ya Mkurugenzi Mtendaji kwa kufikia Miaka 60. Hivyo nimelipwa na PSPF mafao yangu na Ninapokea Pension yangu kutokana na Kustaafu huko. Mimi ni sehemu ya serikali. Iweje nimemwachia sijaridhishwa na Utendaji wa Serikali wakati huo mimi ndiye Mtendaji Mwenyewe?)
From Dr Masale
 
Asante mapumziko mema hatutaki urudi sisi vijama tupo na tuna uwezo wa kufanya kazi tunakutakia mapumziko mema tutaendeleza mazuri yako kila la heri mheshimiwa
 
"......Hata hivyo, kiongozi huyo amesema yuko tayari kulitumikia taifa katika nafasi yoyote atakayopewa iwapo atahitajika kwani hajachoka nab ado ana uwezo wa kufanya kazi"

Akapumzike aseeh awaachie vijana wafanye kazi enzi zake zimepita
 
Khaaa,, sema amestaafu sio kuachia ngazi kama vile ameamua mwenyewe kuacha kazi au amefukuzwa,, rekebisha kichwa cha habari hicho

Mambo mengine ya nchi hii ni vichekesho sana.
Wakati wa uhakiki wa vyeti serikali ilitwambia tena kupitia bungeni kuwa wakuu wa mkoa na wilaya siyo watumishi wa umma, leo mkuu wa wilaya kastaafu kwa kuzingatia matakwa ya utumishi wa umma na wenye nchi wamemkubalia na mshiko kachua, sasa ukweli ni upi???
Kama ni wa umma kweli, basi tuendeleze uhakiki wa vyeti na kwa upande huo ili watumishi wote wa umma katika nchi hii wapate stahiki yao kwa usawa.
 
Mkuu wa Wilaya ya Ilemela , Dk Leonard Masale, ameachia ngazi baada ya kufikisha umri wa kustaafu.

Akithibitisha taarifa hizo mchana wa leo Julai 5, Dk Masala amesema hayuko ofisini tangu Julai Mosi baada ya kufikia umri wa miaka 60, ambao ni wa kustaafu kwa lazima kwa mtumishi wa umma.

Amesema hivi sasa nafasi yake inakaimiwa na Mkuu wa Wilaya ya Magu, Khadija Nyembo, na yeye tayari amepokea mafao yake ya kustaafu kutoka mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma, PSPF, baada ya kuwaandikia barua kuwajulisha kuhusiana na kustaafu kwake miezi sita iliyopita.

Hata hivyo, kiongozi huyo amesema yuko tayari kulitumikia taifa katika nafasi yoyote atakayopewa iwapo atahitajika kwani hajachoka nab ado ana uwezo wa kufanya kazi.

Chanzo: Mwananchi
Teuzi hizi hazizingatiagi umli. Huyu imekuaje tena!!?

Eti yupo tayari kulitumikia taifa. Kwani hakujua teuzi yake haizingatii compulsory retirement age.??
 
Back
Top Bottom