Mkuu wa Wilaya Dodoma atangaza kuondoa makazi ya watu zaidi ya elfu 10 kata ya Kizota

Umakini

New Member
Dec 6, 2021
0
2
Kumetokea na sintofahamu baada ya ya hati JPM kuaga dunia, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma ametangaza kuondoa makazi ya watu zaidi ya elfu 10 kata ya Kizota na bila kujali hawanchi wataenda wapi wala kuishi wapi bali wanajali kupata pesa. Wananchi wameuliza sababu za kubomoa makazi.
 
Kumetokea na sintofahamu baada ya yahati JPM kuaga dunia , mkuu wa wilaya wa wilaya ya dodoma ametangaza kuondoa makazi ya watu zaidi ya elfu 10 kata ya Kizota na bila kujali hawanchi wataenda wapi wala kuishi wapi bali wanajali kupata pesa. Wananchi wameuliza sababu za kubomoa makazi
Ndio tatizo la kuongozwa na watoto wa watumwa.
 
Mleta mada Yaweza kuwa habari YAKO haija kamilika na pia ni Kama ya kichochezi.

Swali hao wanao ondolewa sio wale wa Kizota BWAWANI? ambao makazi yako yalikuwa Ni Kama bahari kipindi Cha mvua?
 
Yeah sahizi nchi imerudi kwa wenyewe sasa mnyonge kafie mbali! Tajiri yeye anapeta tu😅
Magufuli alikuwa akibana matajiri kidogo masikini wanawatetea... Sasa hivi masikini wanabanwa kwelikweli ajabu hakuna tajiri anayewatetea. 😁
 
Mleta mada taarifa yako haijakamilika.
Fafanua hao watu alfu 10 wanahamishwa kwa sababu zipi?
Watu alfu 10 ni wengi sana, huwezi kuwahamisha watu wote hao bila utaratibu maalum.
 
Kumetokea na sintofahamu baada ya ya hati JPM kuaga dunia, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma ametangaza kuondoa makazi ya watu zaidi ya elfu 10 kata ya Kizota na bila kujali hawanchi wataenda wapi wala kuishi wapi bali wanajali kupata pesa. Wananchi wameuliza sababu za kubomoa makazi.
Mleta Uzi , habari kama hizi modes muziangalie ,watu elfu Kumi uwahamishe Bila sababu za musingi .(tarifa yako ni uchochezi .kama wamelipwa na hawataki Kuhama Hilo umeliangalia kabla haujaandikaka uzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watolewe tu...

Maana CCM ilishinda kwa kishindo hapo Dodoma mjini...
 
Hao wanaondolewa kwa usalama wao na walipewa Viwanja hao mbadala tena walizuiwa kujenga maeneo hayo.BINADAMU WAGUMU SANA
Shida ilikua ni nn..huenda waliopewa viwanja mbadala waliviuza..au waliuza maeneo ya awali..sasa waluonunua wamekutana na rungu la kuhamishwa.
 
Back
Top Bottom