Mkuu wa Usalama wa Utawala wa Gaddafi: Najuta kuwa sehemu ya Utawala wa Gaddafi

former chief of internal security!!-mbona anaonekana mchovu hivi?

Maisha ya kukimbiakimbia unadhani mchezo?, hebu rudia historia ujiulize wakati Sadam Hussein anakamatwa alikuwaje?, wakati Moutassim anakamatwa alikuwaje?. Hakuna kitu kinchoweza kumchakaza mtu ndani ya siku saba kama kunyang'anywa kile alichokuwa anamiliki kwa miaka 42. Ila kama NTC wanataka kuleta umoja wa kitaifa watu kama hawa si wa kudhulu maana wanaongea yaliyo mioyoni mwao. Wengi wao walikuwa wanafanya hivyo kwa Woga. Bado najiuliza yukoje yule fluent english speaker Mousa Ibrahim?

Mansour-Dhao-Ibrahim.jpg
 
Mhh tuache ushabiki, kaongea point aliwashauri waondoke April lakini wakagoma sasa mlitaka afanyeje? kwani magamba si wanajua wanapumulia mashine......................................................................................Alunta Continua
 
Back
Top Bottom