Mkuu wa Polisi naye akiri mafisadi EPA hawakamatiki

KunjyGroup

JF-Expert Member
Dec 7, 2009
352
26
i
IGP%20Mwema.jpg

Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Said Mwema, naye amekiri kuwa kuwakamata mafisadi ni kazi ngumu.

Na Boniface Meena

UCHUNGUZI wa Sh42.6 bilioni zilizochotwa kutoka katika Akaunti ya Malipo ya Madeni ya Nje (EPA) katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT) bado unaonekana kuwa mgumu baada ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Said Mwema kurejea kauli zilizowahi kutolewa kuwa inawawia vigumu kuwatia hatiani watuhumiwa. Fedha hizo ni sehemu ya Sh133 bilioni zilizoibwa kwenye akaunti hiyo ya BoT kati ya mwaka 2005/06.

Watuhumiwa waliohusika kwenye wizi huo wa Sh42 bilioni hawakuweza kufikishwa mahakamani, wakati wengine zaidi ya 20 wamefikishwa mahakamani na kesi zao zinaendelea.

Hatuwezi mulaum Mwema sabab anaambiwa wakukamatwa. 'EPA guys, don't! DECI, kamata leo hii. Kagoda, don't dare! ....' Tz yetu hiyo. Je tutafika?
 
Feza hizo ndo zilitumika wakati wa kampeni za CCM mwaka 2005. We unategemea nini hapo?
 
[COLOR=darkgreen said:
Hatuwezi mulaum Mwema sabab anaambiwa wakukamatwa. 'EPA guys, don't! DECI, kamata leo hii. Kagoda, don't dare! ....' Tz yetu hiyo. Je tutafika?[/COLOR]

Kwa imani mwendo mdundo!
 
Pinda akiwa na Mwanasheria Mkuu na Mkuu wa polisi kama sikosei mwanzoni mwa mwaka jana walishatamka kwamba "Mafisadi wa EPA ni matajiri wakubwa sana nchini. Wakikamatwa nchi itawaka moto" sasa naona ndiyo wanajaribu kuzilaumu nchi nyingine kwamba zimeshindwa kuwapa ushirikiano wa kuwatia hatiani mafisadi wa EPA, wakati walishatoa kauli hii tangu February au March 2008. Hakuna jipya hapo, Serikali yote ni kufukuza.
 
Back
Top Bottom