Duduwasha
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 5,703
- 3,653
Huwa nasikitika sana na kupatwa na huruma nikisikia mpigania haki kauawa na risasi za Moto na Jeshi la Usalama wa raia la polisi. Tunasikia Nchi nyingi huwa wanatuliza Ghasia kwa silaha baridi au risasi za Rubber.
Iweje kwetu Kila ghasia tunasikia polisi Wameua Raia? Siku tutamalizwa wote tuamke, kamanda Mkuu unahitajika kuwajika kwa hili. Watanzania tutapata wasi wasi kuwa mnatumiwa na sio mnafuata Sheria. Au Ndio mambo ya Kupeana vyeo bila ujuzi wa Kazi?
Sorry Mkuu wa polisi uwe na huruma na wewe utahukumiwa na muumba wako.