Mkuu wa nchi anajua sana kutoa pole kwa wafiwa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkuu wa nchi anajua sana kutoa pole kwa wafiwa.

Discussion in 'Jamii Photos' started by Vitendo, Apr 2, 2012.

 1. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  mkuu.JPG

  Mkuu wa nchi ya Tanzania akimpa pole mtoto wa marehemu Balozi Raphael Lukindo.
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ukimchekea tu tutaona manyoa sasa hivi..
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kwa hilo nampa big up sana mkuu wa kaya..
   
 4. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,681
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  Mtoto mwenyewe mrembo, Mh mkuu Wa Kaya anavuopenda chuchuz lazima namba ya Simu aipate.
   
 5. eddiom

  eddiom Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  mbona huwa hasimami sawasawa anasimama upande? bega moja huku lapili hukooooo.. picha zake zote hivyo
   
 6. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 8,827
  Likes Received: 4,192
  Trophy Points: 280
  Kwa hilo la kusalimia wafiwa na wagonjwa kafanikiwa
   
 7. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Why smile while others grieves beats me!
   
 8. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahaha dah upo mbali kweli
   
 9. k

  kilolambwani JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Amshauri nae agombee "ubalozi" wamfute machozi kwa kufiwa na baba yake. Maana vyeo vya ccm vya kufutana machozi.
   
 10. taffu69

  taffu69 JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Hana kazi ya kufanya, akiwa Ikulu anawaza safari za nje na kuulizia wapi kuna msiba ili awahi kwenda kutoa pole!!!
  Mambo mengine yanaweza kufanywa hata na wakuu wa wilaya ama mikoa kwa niaba yake.
   
 11. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Wakati ule alipoanguka jangwani ,walisema ana spine problem na ndio maana anasimama upande na kuzunguka na kile kiti chake!!
   
 12. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #12
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  ...Na huwa hafichi tabasamu lake hata kama kakuta wafiwa wana huzuni.
   
 13. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #13
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Tena hapa watafanikiwa kwa kuwa haiidhinishwi kwa kura kama Arumeru. Naunga mkono hoja, binti afutwe machozi na kufarijiwa na kumbatizi
   
 14. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #14
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Manyoya kivipi mkuu embu funguka
   
 15. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #15
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Itakuwa ni poooz lake tu
   
 16. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #16
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mbona mpaka sasa hajatoa pole kwa wenzake wa arumeru?
   
 17. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #17
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Huyo ndo rais wenu?
   
 18. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #18
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  :-*ukiona manyoya ujue kaliwa
   
 19. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #19
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Manyoya yako wapi na nani kaliwa hapo mkuu?
   
 20. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #20
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  "Mjeshi JK"
   
Loading...