Mkuu wa Mkoa wa Tanga alazwa Hospitali ya Taifa, Muhimbili

Naonaga mnashangaa wazungubwanajua kwako wewe kwako hupajui una bahatisha, ni bombo mkuu,karibu tanga ,bumbuli ni jimbo kwenye wilaya ya lushoto.

Haya asante kwa kunisahihisha, hiyo hiyo Bombo hospitali ya mkoa,
 
Ila Ka Jamaa Nawadays kanang'aa.
Sio zama zile kapo Lumumber pale unaeza sema kanywaji Gongo flan hivi
 
hilo jina peke yake ni shigela dah mzee wake alikua daktari nini? shigellosis....upone haraka.
 
Raisi hana kazi na mwanddishi wake kakosa cha kuwaambia wananchi jinsi walivyofilisi nchi basi hata habari za kuokota pini taifa litaambiwa raisi ameshindwa kuwapa pole watu waliovunjiwa nyumba zao na mvua nyingi mtwara anatwambia propaganda za shigella na Muhimbili
 
Back
Top Bottom