Mkuu wa mkoa wa Shinyanga, amuapisha Mkuu wa Wilaya ya Kahama Ndg. Macha

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,482
54,837
DiTM3GAX4AAZzWL (1).jpg

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimtambulisha Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Anamringi Macha wakati alipoweka jiwe la Msingi la Kituo cha Afya cha Chela katika Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama,Mkuu huyo wa wilaya aliapishwa jana asubuhi na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga,Zainab Teklack.

My take:

Nahisi Waziri mkuu Majaliwa ndo alimchongea Mkuu wa Wilaya aliyefukuzwa Fadhili Nkurlu. Sababu amefukuzwa wakati akiwa ziarani Kahama, Naona ana furaha kumtambulisha, si kwa furaha hii. Ukute Majaliwa naye anaanza kujitengenezea ka mtandao uchaguzi wa 2025.

Nawatakia kila la heri siasani.
 
Kumbe ni mwanaume?! Mimi nilifikiri ni mwananke baada ya kusikia jina Anamringi. Hata hivyo yule wa kwanza alikosa nini hadi akatimuliwa ghafla vile? Na wewe Ana uache kucheka vyeo vya aina hiyo siyo vya kuringia havina maisha unaingia kwa heshima unatoka kwa aibu. Kama ntu una kazi zako za uhakika vyeo kama hivi ni kupotezeana network tu kwani vinazimwa muda wowote bila hata staha! Pole DC uliyefukuzwa kazi cha msingi dai haki zako
 
View attachment 811739
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimtambulisha Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Anamringi Macha wakati alipoweka jiwe la Msingi la Kituo cha Afya cha Chela katika Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama,Mkuu huyo wa wilaya aliapishwa jana asubuhi na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga,Zainab Teklack.

My take:

Nahisi Waziri mkuu Majaliwa ndo alimchongea Mkuu wa Wilaya aliyefukuzwa Fadhili Nkurlu. Sababu amefukuzwa wakati akiwa ziarani Kahama, Naona ana furaha kumtambulisha, si kwa furaha hii. Ukute Majaliwa naye anaanza kujitengenezea ka mtandao uchaguzi wa 2025.

Nawatakia kila la heri siasani.
Hapo kwenye "my take"
Hayo ni maoni yako/mawazo yako hivyo yapo kikatiba
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom