Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, tusaidie wakazi wa Luchelele. Anzia kwetu kutatua kero zetu

May 11, 2021
53
70
Nianze kwa kukupongeza kuweza kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wetu. Kwa niaba ya wakazi wa Luchelele wilaya ya Nyamagana nawasilisha kero zetu zinazotusibu kwa muda mrefu.

Kwanza, ubovu wa barabara. Barabara yetu ni mbovu sana,ina mashimo na makorongo huwezi kuamini kuwa hii barabara ipo sehemu ya jiji. Pamoja na ubovu huo unaosababisha magari kupita kwa shida pia kuna kero ya vumbi. Kuna msururu wa malori yanayokuja kuchukua udongo wa moramu ambapo wanashindwa hata kumwagilia maji.

Pili, usafiri. Kuna shida sana ya usafiri kwa sisi wakazi Luchelele inayopelekea matumizi makubwa ya pesa kwa kupanda bodaboda. Sasa 12 jioni ikikukuta mjini hesabu maumivu. Zile Hiace za Luchelele zinabadili route na nyingine zinaishia Malimbe - SAUT na wanawatangazia abiria pale stendi ya Igombe bila kuogopa, panakuwepo hakuna askari pale ya kufuatilia hizi hujuma.

Vilevile, zile hiace za route ya Luchelele- Usagara haziendi tena kule,zimeajianzishia route ya Luchelele- Kona ya Nyegezi kwa siku nzima na nauli wanatoza ile ile, cha kushangaza hakuna polisi wanaowachukulia hatua wakati wanageuzia barabara kuu na wenyewe wakiona na ikifika saa 12 jioni wanapeleka abiria mjini na kurudi Buhongwa.

Tatu,huduma ya maji na afya. Kuna mgao mkubwa sana wa maji na sehemu nyingine mabomba yapo kama mapambo,maji hayatoki kabisa,mabomba yanaharibika na hayatengenezwi kwa wakati. Kuhusu afya, kata nzima hakuna kituo cha afya.

Kwa machache ni hayo tu, mengine nipende kukukaribisha uje ujionee mwenyewe.

Kwa msisitizo zaidi ni kwamba masuala mawili ya mwanzo yapo ndani ya uwezo wako kabisa ni suala la kutoa amri tu kwa mfano kwenye suala la ubovu wa barabara ni kama TARURA hawana fedha za matengenezo basi ni kuwaambia wenye kampuni iyochimba moramu huku kuhakikisha wanaziba hayo mashimo maana ndo waharibifu wakubwa wa barabara na miundombinu ya maji.

Hiyo moramu wanaipitisha tu bila kutengeneza wanapoharibu. Pia kwenye suala la kero ya usafiri ni kumuamuru RTO kuweka askari kufuatilia madreva wanaoenda kinyume na route zao na kuchukuliwa hatua za kisheria.
 
Duh nilitaka ninunue kajumba huko nasitisha mpango huo!
 
Asante sana JF, baada ya jana usiku kuweka bandiko hili, leo asubuhi nimeona wamemwaga vifusi. Ilatakuwa yule mkandarasi anayejenga stendi ya Nyegezi ambaye ndo anayechukua udongo wa moramu huku Luchelele aliliona hili bandiko. Jamaa anaharibu barabara na malori yake makubwa alafu anashindwa hata kuziba hayo mashimo wakati moramu ndipo zinapopatikana. Na nitafuatilia kero ya usafiri nilete mrejesho kama RTO ameifanyia kazi.
20210601_122526.jpg
View attachment 1804664View attachment 1804663
 
Asante sana JF, baada ya jana usiku kuweka bandiko hili, leo asubuhi nimeona wamemwaga vifusi. Ilatakuwa yule mkandarasi anayejenga stendi ya Nyegezi ambaye ndo anayechukua udongo wa moramu huku Luchelele aliliona hili bandiko. Jamaa anaharibu barabara na malori yake makubwa alafu anashindwa hata kuziba hayo mashimo wakati moramu ndipo zinapopatikana. Na nitafuatilia kero ya usafiri nilete mrejesho kama RTO ameifanyia kazi.View attachment 1804665View attachment 1804664View attachment 1804663
Stand ya Nyegezi inapanuliwa au inajengwa sehemu nyingine?

Mara ya mwisho kuja Mwanza ilikuwa 2014
 
Asante sana JF, baada ya jana usiku kuweka bandiko hili, leo asubuhi nimeona wamemwaga vifusi. Ilatakuwa yule mkandarasi anayejenga stendi ya Nyegezi ambaye ndo anayechukua udongo wa moramu huku Luchelele aliliona hili bandiko. Jamaa anaharibu barabara na malori yake makubwa alafu anashindwa hata kuziba hayo mashimo wakati moramu ndipo zinapopatikana. Na nitafuatilia kero ya usafiri nilete mrejesho kama RTO ameifanyia kazi.View attachment 1804665View attachment 1804664View attachment 1804663
Hi ni njia ya kwenda jembe ni jembe mkuu?
 
Nilichokiona ni kwamba sio Mkandarasi hajui kama yeye ni muharibifu bali anataka Mumzibie njia ndio atakuja kutengeneza na kumwaga maji kiukweli njia ni mbaya tena sana.
Sasa kikubwa kinachotakiwa kumzibia njia ili viongozi wa jiji waje kuongea na nyinyi sitaki kuamini kuwa wenye viti na wajumbe hawajui hizo kero za huko aisee.
Hebu tujaribu tuwe wa babe kidogo
 
Iko hivi, Moja ya laana za mkoa wa Mwanza nikupata viongozi wa hovyo wakuchaguliwa NA WANANCHI
 
Nilichokiona ni kwamba sio Mkandarasi hajui kama yeye ni muharibifu bali anataka Mumzibie njia ndio atakuja kutengeneza na kumwaga maji kiukweli njia ni mbaya tena sana.
Sasa kikubwa kinachotakiwa kumzibia njia ili viongozi wa jiji waje kuongea na nyinyi sitaki kuamini kuwa wenye viti na wajumbe hawajui hizo kero za huko aisee.
Hebu tujaribu tuwe wa babe kidogo
Jamii ya watu wa huku wanaonekana wana tatizo la kufikiria. Hao viongozi hawana muda. Shughuli zao wanaenda kufanyia ziwani kama kufua na kuoga.
 
Back
Top Bottom