Mkuu wa mkoa wa Mwanza anatoa wapi mamlaka ya kuzuia watu kukusanyika? Je nchi hii inatawaliwa kijimbo?

Mbona CCM mnafanya mikutano ya hadhara?
Ila yeye ndio kinara wa kuinadi hivyo tunategemea asiitishe mikutano wakati anafahamu huwa ipo.

Au corona haipo yeye akifanya mikutano na inakuwepo wakati mwingine.
 
Ila yeye ndio kinara wa kuinadi hivyo tunategemea asiitishe mikutano wakati anafahamu huwa ipo.

Au corona haipo yeye akifanya mikutano na inakuwepo wakati mwingine.
Kikao cha ndani kina shida gani? ingekuwa mkutano wa hadhara hapo sawa
 
amepagawa huyo nasihi hao chadema na wadau mbalimbali wanaodai katiba mpya wang'ang'anie hapohapo mpaka kieleweke
 
Mambo ya kuogofya sasa yameanza kushika kasi na moja yake ni hili la mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhandisi Gabriel kupiga marufuku mikusanyiko yote isipokuwa misiba na ibada. Ukiondoa makusanyiko hayo tafsiri nyepesi ni kwamba sasa Masoko yatabidi yafungwe, magulio yafungwe na huenda pia makusanyiko ya harusi hayaruhusiwi tena. Je ni mamlaka ya wapi watu hawa wameweza kuzuia majumuiko ya kijamii? Mkoa wa mwanza una sheria zake za ndani na kama mwanza iko worsened kwanini Waziri wa afya asitamke yeye mwenyewe?

Inapokuwa ni amri dhidi ya Cdm hata balozi anaweza kuvunja sheria. Bila machafuko tusitegemee sheria yoyote kufuatwa dhidi ya wapinzani wa kweli wa ccm.
 
Back
Top Bottom