Wewe ni Kalanga mwenyewe. Jiandae kuvuna ulichokipanda.Kaka naomba hiyo link manake sasahivi tumeshaanza kumtafutia ushahidi wa madudu yake anayofanya nje ya ofisi ambayo rais amempa lakini hataki kutulia bado anarudi kuhangaika jimboni.hadi leo tumeshindwa kujuwa huyu bwana nani anampa hicho kiburi.wakati wa uchaguzi wa mwenyekiti wa ccm mkoa wa arusha ulipofanyika alifunga safari kutoka moro goro kwa lengo la kuja kumfanyia kampeni mtu wake lakin nashukuru mh jafo waziri alienda kufanya ziara mkoani kwake lakin hakumkuta kwnye kituo chake cha kazi hali iliyopelekea waziri kumpigia simu mara na kumpa masaa awe amerudi kwenye kituo chake cha kazi