Mkuu wa mkoa wa Morogoro angalia watu hawa watakuponza

mbikagani

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
3,107
1,782
Afisa Tarafa ya Magole, Mtendaji Kata wa Mbigiri na Diwani wa Kata ya Mbigiri wilayani kilosa watakuponza usipowachukulia hatua haraka.

Vimungu mtu hawa wanatumia jina lako kama mkuu wa mkoa kutesa watu ambao wanatofauti nao kimsimamo.

Wanachofanya ni kukamata mtu ambaye wanaona au wanataka kumkomoa na kumweka ndani Kituo cha Polisi Dumila na kudai akae humo masaa 48 kwa agizo la mkuu wa mkoa.

Mimi sitaki kuamini kama kweli wewe huna taarifa hizi.

Take serious these people watakuaribia.

mkoa moro.jpg
 
Back
Top Bottom