The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,589
- 14,134
Bila kupoteza mda twende kwenye mada..
Tarehe 6/7/2022,Mkuu wa Mkoa wa Mbeya aliitisha Kikao na Wanahabari na Kutoa taarifa za Makusanyo ya mapato ya ndani Kwa Halmashauri za Mkoa wake..
Kwenye Taarifa yake alisema Mkoa wake umevuka malengo ya makusanyo kwa Kukusanya kiasi cha sh.Bil.45.062 sawa na asilimia 105.6% ya malengo ya kukusanya Sh Bil.42.371% hivyo kuvuka lengo..
Aidha alitoa mchanganuo wa Mapato kwa Kila Halmashauri za Mkoa huo na Kuzipongeza kwa kuvuka malengo ya Makusanyo..
Lakini Jana Waziri Mwenye dhamana na Tamisemi alitoa taarifa ya Uchambuzi wa Makusanyo kwa Kila Halmashauri Nchini..
Kwenye Taarifa ya Tamisemi Mkoa wa Mbeya umekusanya mapato kiasi kidogo tofauti na Mapato yaliyotangazwa na Mkuu wa Mkoa..
Kwani imebainika Kwamba Mkoa wa Mbeya umekusanya Bil.42.272 sawa na asilimia 99% kinyume kabisa na Taarifa ya Mkuu wa Mkoa..
Aidha Mbeya haijavuka Malengo ya Makusanyo waliyojiwekea kinyume na alivyosema Mkuu wa Mkoa..
Mbaya zaidi Jiji la Mbeya ndio limekusanya mapato kiduchu na kushika Mkia kwa Majiji yote Tanzania.Hivi Mbeya ni ya kuzidiwa na Tanga kweli? Hapa kuna Uzembe mahala.
My Take..
Mhusika aombe radhi kwa Kudanganya umma.
Aidha Tamisemi ipige marufuku Kwa Wakuu wa Mikoa nk kutoa taarifa hizi kabla ya wao kufanya Majumuisho maana kitendo ch a kuwa na Wasemaje wengi matokeo yake ndio haya ya kuwa na Takwimu lukuki zinazoongea lugha tofauti..
Unashindwa kuelewa ushike lipi na uache lipi. Ikumbukwe Mkuu wa Mkoa wa Simiyu aliyetumbuliwa nae alitoa Takwimu zake huku wengine wakisubiri.👇