Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila aanza kunena kwa lugha

Msihangaike mkadhani kwamba kuna jipya la hasha, CCM ndo yenye kuunda Serikali na Mama Samia na Mpango wanatekeleza ilani ya CCM na msidhani kwamba watawatendea mabaya wateule wa Magufuli waliopa madarakani bali wembe ni ule ule
Cimali
 
Hujaona clip ya jerry muro? Anasema kwa utawala wa Magu kwa mchaga kupenya hadi kuwa DC ilikua ndoto? Ngoja niweke hapa.

Magu alikua mkabila sana ushahidi huu hapa

mama D njoo uone mchaga anavyolalamika
Mwambieni wachaga wenzie huwa hawalalamikihawalalamiki.... kila changamoto kwao ni fursa

Kwani maisha lazima ule kwenye siasa au kwenye check number ya serikali?
 
Msihangaike mkadhani kwamba kuna jipya la hasha, CCM ndo yenye kuunda Serikali na Mama Samia na Mpango wanatekeleza ilani ya CCM na msidhani kwamba watawatendea mabaya wateule wa Magufuli waliopa madarakani bali wembe ni ule ule
Jipe moyo.. wewe nadhani ndo miongoni mwa wale waliposikia Magufuli amekufa hawakuamini. Mpaka sasa huamini kuwa mtu anaweza kufa hata kama Ni rais
 
Walamba makalio wameanza kubadili gia angani bila aibu , watahangaika sana .
Screenshot_20210329-172251.png
 
Msihangaike mkadhani kwamba kuna jipya la hasha, CCM ndo yenye kuunda Serikali na Mama Samia na Mpango wanatekeleza ilani ya CCM na msidhani kwamba watawatendea mabaya wateule wa Magufuli waliopa madarakani bali wembe ni ule ule
Suala siyo kuongozwa na CCM, CHADEMA au ACT au CUF. Jambo la muhimi ni kuwa na viongozi wenye busara na hekima.

Mimi binafsi sikerwi kuongozwa na chama chochote, nakerwa kuongozwa na watu wanafiki, wauaji, watekaji, wapotezaji watu, waongo na wenye hila, wajinga na wasio na upeo, washamba na wasioelewa utofauti wa kuongoza binadamu wenzako na kuswaga ng'ombe.

Mh. Rais Samia, tunakuombea na kukuomba, itafute hekima ya uongozi, waongoze watu kwa haki, huhitaji kuonea wala kupendelea, nawe utalipwa na kukuzwa kwa uongozi uliotukuka. Utawala uliopita ulikuwa ni wa madhira makubwa. Watu wanajua, japo wewe ulikuwa katika utawala huo huo lakini hukushiriki iliyokuwa najisi. Nawe kwa kiasi fulani ulikuwa muhanga wa utawala huo, ndiyo maana ulikuwa radhi kuachia nafasi yako.

Kila jambo linalotokea, lina sababu zake mbele za Mungu. Itafute hekima ya Mungu ili ujue anataka utende nini, lakini kilicho wazi ni kuwa siku zote Mungu huwaleta viongozi wenye hekima kwaajili ya furaha ya watu wake, na huwaleta viongozi dhalimu kwaajili ya kuwaadhibu wanadamu wanapoiacha njia ya Mungu. Watanzania tumejuta chini ya utawala uliopita, na wengine hawatausahau kwa mabaya mpaka waiachapo Dunia. Tujiulize tulimkosea nini Mungu wetu hata akatuadhibu kwa kupitia uongozi wenye kuleta madhira? Bahati tuliyo nayo, hata katika kipindi cha madhira, kuna wenzetu miongoni mwetu hawakuacha kumlilia Mungu usiku na mchana. Leo tumepewa kiongozi muungwana na mwenye utu, ameanza kuipanga safu yake. Mwangalieni Mpango, ni mtu wa nna gani. Ndivyo Serikali yote itakavyokuwa.
 
Tanzania hakuna kigezo kinachoeleweka cha kuwateua viongozi mbalimbali ila ni upambe zaidi na umbeya sifa kuu mbili ambazo Magufuli alizitumia sana katika kuteua watu wake.

Hata safari hii tusitegemee tofauti sana kwa sababu wengi kwa kuogopa kujiajiri hupenda kujipendekeza ili wapate uteuzi.
Pengine hizi ndiyo sifa kuu au qualifications za kuteuliwa ndani ya CCM:

  1. Jitu ONGO, NAFIKI na JIMBEYA.
  2. Jitu linalo TUKANA ,KUTESA hata KUUA WAPINZANI.
  3. Jitu linalo SIFU, TUKUZA na KUABUDU kiti cha Rais.
  4. Jitu lisilo na UWEZO WA KUJENGA HOJA.
  5. JItu lenye NIDHAMU ya WOGA na KUTOKOSOA chochote hata kiwe nje ya KATIBA.
  6. etc......!!!
 
Msihangaike mkadhani kwamba kuna jipya la hasha, CCM ndo yenye kuunda Serikali na Mama Samia na Mpango wanatekeleza ilani ya CCM na msidhani kwamba watawatendea mabaya wateule wa Magufuli waliopa madarakani bali wembe ni ule ule
Hata kipindi cha Mwinyi, Mkapa na Kikwete CCM ndiyo ilikuwa inaunda serikali, lakini hatukuona aina ya RCs na DCs kama wa kipindi cha jiwe.
 
Suala siyo kuongozwa na CCM, CHADEMA au ACT au CUF. Jambo la muhimi ni kuwa na viongozi wenye busara na hekima.

Mimi binafsi sikerwi kuongozwa na chama chochote, nakerwa kuongozwa na watu wanafiki, wauaji, watekaji, wapotezaji watu, waongo na wenye hila, wajinga na wasio na upeo, washamba na wasioelewa utofauti wa kuongoza binadamu wenzako na kuswaga ng'ombe.

Mh. Rais Samia, tunakuombea na kukuomba, itafute hekima ya uongozi, waongoze watu kwa haki, huhitaji kuonea wala kupendelea, nawe utalipwa na kukuzwa kwa uongozi uliotukuka. Utawala uliopita ulikuwa ni wa madhira makubwa. Watu wanajua, japo wewe ulikuwa katika utawala huo huo lakini hukushiriki iliyokuwa najisi. Nawe kwa kiasi fulani ulikuwa muhanga wa utawala huo, ndiyo maana ulikuwa radhi kuachia nafasi yako.

Kila jambo linalotokea, lina sababu zake mbele za Mungu. Itafute hekima ya Mungu ili ujue anataka utende nini, lakini kilicho wazi ni kuwa siku zote Mungu huwaleta viongozi wenye hekima kwaajili ya furaha ya watu wake, na huwaleta viongozi dhalimu kwaajili ya kuwaadhibu wanadamu wanapoiacha njia ya Mungu. Watanzania tumejuta chini ya utawala uliopita, na wengine hawatausahau kwa mabaya mpaka waiachapo Dunia. Tujiulize tulimkosea nini Mungu wetu hata akatuadhibu kwa kupitia uongozi wenye kuleta madhira? Bahati tuliyo nayo, hata katika kipindi cha madhira, kuna wenzetu miongoni mwetu hawakuacha kumlilia Mungu usiku na mchana. Leo tumepewa kiongozi muungwana na mwenye utu, ameanza kuipanga safu yake. Mwangalieni Mpango, ni mtu wa nna gani. Ndivyo Serikali yote itakavyokuwa.
AMEN
 
Hii yote ni uoga wa ujobless wakati kuna graduates kibao hawana kazi na wanadunda tu mtaani, yeye ambaye anao mtaji anahofu kama anaoga nje vile
 
Msihangaike mkadhani kwamba kuna jipya la hasha, CCM ndo yenye kuunda Serikali na Mama Samia na Mpango wanatekeleza ilani ya CCM na msidhani kwamba watawatendea mabaya wateule wa Magufuli waliopa madarakani bali wembe ni ule ule
Una logic. Watu waache kuwafitinisha viongozi.
Binafsi sipendezwi namna wengi wanavowaza kuhusu baadhi ya viongozi hapa nchini.
 
Huyu jamaa alivyokuwa na kauli chafu chafu haswa akiongelea mambo ya wanawake sidhani kama atapona.
 
Bado haijafahamika kisa cha Mh Chalamila kuanza kujieleza kwa kiwango kikubwa kiasi hiki , huku akiwa hajaulizwa na mtu yeyote .

Je anasukumwa na hofu ya upepo mpya unaovuma ?
Tena wengi sana wa aina yake,wanaotetemeka kipindi hiki. Wenyewe walikuwa wanamtumikia mtu si wananchi. Amewadharau sana wananchi huyu
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom