Mkuu wa mkoa wa Kigoma: Wanasiasa wasiingize siasa kwenye mambo ya maendeleo

spiason1

Member
May 31, 2016
26
18
Juzi nilikuwa nasikiliza mkuu wa mkoa wa kigoma, akawa anazungumza na wananchi kuwa wanasiasa wasijihusishe na siasa kwenye mambo ya maendeleo. Na mwanasiasa atakayejihusisha na kuingilia wananchi either kuwakataza kutokufanya kitu kwa masilahi yake kuwa atafungwa na kufunguliwa mashtaka.

Nikawa nawaza sana kuwa je mkuu wa mkoa atakwepa vipi siasa wakati kuwekwa kisiasa?
Wakuu wa mkoa ni mara ngap tunawaona wamevaa uniform za vyama?

Lakini pamoja na kuandika yote hayo nina swali.
Je mkuu wa mkoa ana maamlaka gani ya kuweza kumfunga mbunge au diwan?
Je vitu gani mbunge anatakiwa kujihusisha direct jimbon kwake na vitu gan hatakiwi kwenda direct?

I need your help
 
Back
Top Bottom