MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,684
- 6,478
Musiba Msiba
Sawa Mkuu. sasa Bi. Anna Mghwira anatekeleza siasa ya Chama kipi, kilichompa Ukuu wa Mkoa au kilichomwibua akaonekana.Soma hapo chini ndio ujue ni viongozi wa Kisiasa, hivyo yupo sahihi kufanya afanyacho!....tatizo ni KATIBA
Tayari ni Mwanachama wa CCM na majuzi amekabidhiea kadi ya chama hicho!Sawa Mkuu. sasa Bi. Anna Mghwira anatekeleza siasa ya Chama kipi, kilichompa Ukuu wa Mkoa au kilichomwibua akaonekana.
Amekuwa mkuu wa mkoa kuanzia lini na amekabidhiwa Kadi ya uanachama lini?Tayari ni Mwanachama wa CCM na majuzi amekabidhiea kadi ya chama hicho!
Je bado utahitaji niendelee kujibu swali lako?
Jibu lako liko hapaAmekuwa mkuu wa mkoa kuanzia lini na amekabidhiwa Kadi ya uanachama lini?
Au kuna utaratibu wa mtu kuwa mwanachama hata kama Hana kadi ya uanachama
Kubwa jinga we, kwenye hiyo sheria wanaposema viongozi wa kisiasa wanamanisha viongozi wa kisiasa Kwa ujumla wake ambao ni madiwani,wabunge , na viongozi wa vyama vya siasa, Mkuu wa mkoa ni kiongozi wa watumishi wa umma.Jibu lako liko hapa
Asante. NashukuruKubwa jinga we, kwenye hiyo sheria wanaposema viongozi wa kisiasa wanamanisha viongozi wa kisiasa Kwa ujumla wake ambao ni madiwani,wabunge , na viongozi wa vyama vya siasa, Mkuu wa mkoa ni kiongozi wa watumishi wa umma.
Embu nenda kasome katiba ya CCM kuhusu suala la uanachama upate uelewa.
Anna Ngwira aliteuliwa kuwa mkuu wa mkoa kabla ya kuwa mwanachama wa CCM.
Inaonekana we jamaa ni kilaza sana kama Bashite , **** lako
Na wao wana mawivu kibao tu mzee but nilikuwa nikiongelea incidence iliyotokea mkoani Iringa 2015 hasa kwenye majimbo yaliyokuwa hot ya Iringa Mjini na Kilolo.Kwa hiyo wenye wivu miongoni mwao ni wana CCM tu kila mkoa? Wapinzani hawana wivu miongoni mwao?
Hapo juu unamaanisha hawasomi JD yaani Jack Daniels!? Weekend hii mkuu acha uchochezi...hahahaha.Rc wengi hawasomi JD zao
Wako busy kuuwa upinzani wakishindwa wanapanda dau
Ujima umerud Tanganyika
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna bonge la Bash la kuzindua kitabu cha Super Bilionea leo jioni. Location is strictly CODED.Huyu si mkuu wa mkoa wa Iringa? anafanya nini huku Dar es salaam
Kuna mwenzako amechezea BAN kwa kutaja taja majina ya watu hovyo hapa JF. Endelea na Udaku uone mwisho wake.Sawasawa ndugu Cyprian Musiba,Mutu ya kujitoa ufahamu na kujipendekeza.
Cyprian Musiba???View attachment 852236
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapi, akiwa kwenye studio ya Mwananchi jana, jijini Dar es Salaam, amefichua siri ya Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa kujiunga Upinzani kuwa, ilitokana na udhaifu ulioonyeshwa na Watendaji ndani ya Halmashauri na kupata ajenda kwa sababu ya udhaifu wa CCM (ya kipindi hicho).
Hata hivyo, Hapi alielezea juu ya Kampeni yake mpya inayolenga kuboresha sekta ya utumishi wa umma, kilimo, utalii, misitu na afya. Hapi alisema kuwa, hana sababu ya kugombana na Msigwa bali anapaswa aone mwenyewe kwamba Mkuu wa Mkoa amekuja kufanya kazi ili wananchi wawe na imani na Rais wao na Serikali yao, hadi Msigwa aseme: "Jamani sasa huku niliko nafanya nini?"
Hapi alieleza kuwa, Ilani ya Uchaguzi inayotekelezwa sasa ni ya CCM na hata Msigwa anatekeleza Ilani hiyo.
"Nina imani kwa kazi ninazofanya wala sitakuwa na sababu ya kumshawishi Msigwa arudi CCM. Nina imani kabisa mwenyewe nafsi inamsuta na ataona hana namna nyingine isipokuwa kujiunga CCM."
View attachment 852275
View attachment 852238
Kwa vyovyote iwavyo ujio mkoani Iringa wa dogo huyo utamsumbua sana Msigwa come 2020. Nakumbuka mwaka 2015, Mwakalebela wa CCM, alikuwa hot sana kiasi kuwa, wengi walijua Msigwa atapigwa chali basi tu. Na kwa kipindi kile, kulikuwepo msuguano mkubwa sana Mjini Itinga baada ya kuwa watu maarufu walishindwa kufurukuta kwenye kura za maoni za CCM, wakiwemo: Augustine Maiga, Abbas Kandoro (marehemu), Jeca Msambatavangu na wengine. Sasa, Msambatavangu aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama (M) aliposhindwa alikuwa na kinyongo na kumsaidia kisirisiri Peter Msigwa ili ashinde. Kumbuka Msambatavangu alikuwa mtu wa Lowassa na kwa kuwa Lowassa alihamia Upinzani, it seemed as if no one cared that much in Urban Iringa, mpaka baadaye Kampeni kali ya kutumia fedha ilipoubadilisha kabisa Mji wa Iringa kuwa kama umechukuliwa na Mwakalebela. Ndiyo maana Mwakalebela hakuamini kushindwa kwenye Uchaguzi ule na kukataa kusaini matokeo mpaka baadaye ilipomlazimu baada ya hali kuwa worse Mjini Iringa.
So, niki-recall ile situation ya 2015, halafu uweke ujio wa Hapi, wazee kiukweli Msigwa atapata tabu sana mbele ya yule (pichani) jamaa mbobezi wa IR.
Hata hivyo, shida ya Wagombea ubunge wa kinyalukolo wa CCM kipindi kile tangu kwenye Kura za Maoni, ni kuwa walikuwa wakiombeana mabaya dhidi yao wenyewe hasa kwa wale waliokuwa Mawaziri kwani walihofia wenzao kuwa anaweza kuchukua nafasi ya uwaziri ambayo ingeangukia Mkoa wa Iringa. Nadhani wivu huu uko katika kila Mkoa ila huwezi ukaugundua kirahisi, so na wenyewe umesaidia kwa kiwango fulani kuwasaidia Wapinzani. I'm sure you know what am talking about, right?
Kwani aliyewaapisha alisemaje?! Mbona tunajisahaulisha?!Yanii
Yaaaini Mkuu wa Mkoa ambaye anapaswa kuwa mtumishi wa watu wote bila kujali itikadi ndo anajipambua hivi !!! Hii nchi inaelekea wapi ? Tangu lini RC akawa kada wa Chama fulani wazi wazi hivi !!!
Ban mimi siogopi.Kwani wewe ni msemaji wa Musiba??Acha utoto na kujipendekeza.Kuna mwenzako amechezea BAN kwa kutaja taja majina ya watu hovyo hapa JF. Endelea na Udaku uone mwisho wake.