Mkuu wa Mkoa wa Dar, umefanya vizuri ulipaji wa fidia wananchi wa Makongo Juu waliopisha ujenzi wa barabara

folota

JF-Expert Member
Aug 14, 2015
251
160
Tunamshukuru Mkuu wa Mkoa wa Dar kwa ulipaji wa fidia wananchi wa Makongo Juu na hakuna malalamiko wananchi wamebomoa wenyewe kupisha Barabara kujengwa.

Kunenge ulikuwa wapi wakati walipokuwa wanabomoa Kimara tumejifunza kitu hapa ukiendelea hivi na timu yako nakuchukulia form CCM ugombee cheo kiwe waziri ili upeleke hii elimu wizarani tunataka viongozi 20 Kama Kunenge nchi hii
 
Yaani Dar ipo shwari na hakuna kiki yule Mataga mara press conference za wamama waliotelekezwa, watoto wa Lowassa mara visitation za kwa macheni, mara yeye na mabunduki Mataga media yani yule jamaa sijui vision yake kwa jiji la Dar ilikua ni nini na Mwendazake.
 
Jangwani mmesikia tena maji kujaa na masika hii kimya huyu ni kiongozi anatoa majibu bila tambo hademki
 
Tunamshukuru Mkuu wa Mkoa wa Dar kwa ulipaji wa fidia wananchi wa Makongo Juu na hakuna malalamiko wananchi wamebomoa wenyewe kupisha Barbara kujengwa. Kunenge ulikuwa wapi wakati walipokuwa wanabomoa Kimara tumejifunza kitu hapa ukiendelea hivi na timu yako nakuchukulia form CCM ugombee cheo kiwe waziri ili upeleke hii elimu wizarani tunataka viongozi 20 Kama Kunenge nchi hii
He is doing a great job

Lakini kumtoa mtendaji mzuri Kama huyo kumpeleka kwenye siasa za kugonga meza sio sawa

He is more effective Kama mtendaji
 
Nasikia hata Kariakoo shimoni amemaliza kero ya hewa nzito
 
... ujambazi umerudi kwa kasi Dar. Hili ni eneo muhimu sana la RC kulitupia jicho la tatu.
 
Back
Top Bottom