Mkuu wa Mkoa wa Dar Paul Makonda amepatwa na nini!? Mbona amekuwa kimya sana?

magode

JF-Expert Member
Oct 2, 2014
2,201
3,322
Wanajamvi
Salaam.

Huyu kijana amekumbwa na nini kipindi hiki!?? Hakuna tena matamko,hakuna maelekezo,hakuna ziara za kushtukiza na hakuna tena hata vikao na wanahabari km alivyozoeleka.

Najiuliza kuna hali anapitia au mimi ndo nipo nyuma lakini bado yupo vilevile!??

Naona kama ile kasi yake na kule kujimwambafy kama kumeshuka sana kama siyo kuisha kabisaa! Hebu mlio karibu na huyu kijana msaidie kutujuza nini kimempata! Au hili tukio hapa chini la baba kumpita bila kumpa mkono lilimfedhesha akaamua kukaa kukimyaa ili atafakari kulikoni!??
 
Attachments

  • malisa_gj___B5W3tTkAo7E___.mp4
    141.2 KB
Ameamua kuweka nguvu zote kwenye kile kitengo chake
Huoni wasiojulikana wamepungua kama sio kwisha
Tunaimarisha kitenge cha uhujumu uchumi na utakatishaji pesa
 
Sasa hakika mnathibitisha jinsi mlimvyomdhulumu mashinji.
Endeleeni kushabikia uchifu wa Mnyika.

Na yule jamaa aliyekwamia kenya!
Screenshot_20191229-170200.jpeg
tapatalk_1546618366899.jpeg
tapatalk_1537102006512.jpeg
tapatalk_1549192681459.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora awe kimya kwanza,kazi ionekane kwa vitendo.
Miradi Mikubwa inayotekelezwa ahaijakamilika mkoa wa Dar es Salaam.
 
Wanajamvi
Salaam.

Huyu kijana amekumbwa na nini kipindi hiki!?? Hakuna tena matamko,hakuna maelekezo,hakuna ziara za kushtukiza na hakuna tena hata vikao na wanahabari km alivyozoeleka.

Najiuliza kuna hali anapitia au mimi ndo nipo nyuma lakini bado yupo vilevile!??

Naona kama ile kasi yake na kule kujimwambafy kama kumeshuka sana kama siyo kuisha kabisaa! Hebu mlio karibu na huyu kijana msaidie kutujuza nini kimempata! Au hili tukio hapa chini la baba kumpita bila kumpa mkono lilimfedhesha akaamua kukaa kukimyaa ili atafakari kulikoni!??

Anachagua Jimbo gani akagombee.
1. Ukonga
2. Kwimba
3. Nyamagana

c.c Pascal Mayalla
 
Ameamua kuweka nguvu zote kwenye kile kitengo chake
Huoni wasiojulikana wamepungua kama sio kwisha
Tunaimarisha kitenge cha uhujumu uchumi na utakatishaji pesa
Majuzi walikiamsha sema wamekuja na staili mpya ya uhujumu uchumi angalau hii matumaini ya kuendelea kupumua yangalipo kuliko ya viroba
 
Wanajamvi
Salaam.

Huyu kijana amekumbwa na nini kipindi hiki!?? Hakuna tena matamko,hakuna maelekezo,hakuna ziara za kushtukiza na hakuna tena hata vikao na wanahabari km alivyozoeleka.

Najiuliza kuna hali anapitia au mimi ndo nipo nyuma lakini bado yupo vilevile!??

Naona kama ile kasi yake na kule kujimwambafy kama kumeshuka sana kama siyo kuisha kabisaa! Hebu mlio karibu na huyu kijana msaidie kutujuza nini kimempata! Au hili tukio hapa chini la baba kumpita bila kumpa mkono lilimfedhesha akaamua kukaa kukimyaa ili atafakari kulikoni!??
Amekua
 
Back
Top Bottom