magode
JF-Expert Member
- Oct 2, 2014
- 2,201
- 3,322
Wanajamvi
Salaam.
Huyu kijana amekumbwa na nini kipindi hiki!?? Hakuna tena matamko,hakuna maelekezo,hakuna ziara za kushtukiza na hakuna tena hata vikao na wanahabari km alivyozoeleka.
Najiuliza kuna hali anapitia au mimi ndo nipo nyuma lakini bado yupo vilevile!??
Naona kama ile kasi yake na kule kujimwambafy kama kumeshuka sana kama siyo kuisha kabisaa! Hebu mlio karibu na huyu kijana msaidie kutujuza nini kimempata! Au hili tukio hapa chini la baba kumpita bila kumpa mkono lilimfedhesha akaamua kukaa kukimyaa ili atafakari kulikoni!??