Mkuu wa Mkoa wa Dar Makonda awatangazia wananchi wa mkoa wake miguu ya bure

Apr 27, 2006
26,588
10,364
upload_2017-8-10_15-10-44.jpeg

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda amefanikiwa kupata MIGUU YA BANDIA ya Kuhudumia wananchi MIA MBILI (200) itakayoweza kuwasaidia wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam wenye mahitaji.

Miguu hiyo yenye thamani ya Shilingi Milion 600 hadi bilioni 1.2 ENDAPO watu wote 200 watahitaji miguu yote miliwi itatolewa bila BILA MALIPO (bure) kwa wananchi waliopata ajali na kushimdwa kupata miguu hiyo kutokana na kushindwa KUMUDU gharama za kununua miguu hiyo ambapo kwa MGUU mmoja unagharimu Milion TATU (3,000,000)

Mhe MAKONDA amewataka wananchi WOTE wenye UHITAJI wa miguu ya BANDIA NA ambao hawana UWEZO wa kumudu GHARAMA kufika ofisini ya mkuu wa mkoa siku ya Jumatatu Tarehe 14/08/2017 na Jumanne Tarehe 15/08/2017 kwaajili kukutana na wataalamu wa miguu watakaochukua VIPIMO kwaajili ya kutengenezewa miguu kulingana na maumbile yao.

"Nimepewa kazi ya MKOA kuhudumia MAKUNDI yote, nafahamu kwenye mkoa wangu wapo waliopata ajali na wengine wakavunjika miguu lakini PESA ya kupata miguu ya BANDIA ili waachane na magongo kwao imekuwa ni moja ya CHANGAMOTO, kutokana na sababu hiyo nimeona vyema nifikiri namna ya KUWASAIDIA wananchi ambao hawana UWEZO ili waweze kupata, nimefanikiwa kupata wadau watakaonipatia miguu ya kuhudumia wananchi 200" Nahii ni awamu ya kwanza ,Alisema Makonda.

Imetolewa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
10/08/2017
 
Attachments

  • upload_2017-8-10_15-9-8.jpeg
    upload_2017-8-10_15-9-8.jpeg
    74.6 KB · Views: 114
Milioni 600 hadi 1.2 bilioni, ndio nini? Ina maana aliyenunua miguu hiyo hajui gharama halisi aliyoitumia kuinunua mpaka mkadirie, mkuu wa mkoa ametoa wapi milioni 600~1.2 billion kununua miguu hiyo, isije ikawa mnatumika na wauza ngada. Misaada kama hii chanzo kijulikane.
 
- Gaharma ya mguu mmoja ni Tsh. 1M hawajui watajitokeza wangapi, ila kwa tayari wana hesabu ya miguu 200, yaani unachukia walemavu kusaidiwa? duh

le Mutuz
 
View attachment 562450
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda amefanikiwa kupata MIGUU YA BANDIA ya Kuhudumia wananchi MIA MBILI (200) itakayoweza kuwasaidia wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam wenye mahitaji.

Miguu hiyo yenye thamani ya Shilingi Milion 600 hadi bilioni 1.2 ENDAPO watu wote 200 watahitaji miguu yote miliwi itatolewa bila BILA MALIPO (bure) kwa wananchi waliopata ajali na kushimdwa kupata miguu hiyo kutokana na kushindwa KUMUDU gharama za kununua miguu hiyo ambapo kwa MGUU mmoja unagharimu Milion TATU (3,000,000)

Mhe MAKONDA amewataka wananchi WOTE wenye UHITAJI wa miguu ya BANDIA NA ambao hawana UWEZO wa kumudu GHARAMA kufika ofisini ya mkuu wa mkoa siku ya Jumatatu Tarehe 14/08/2017 na Jumanne Tarehe 15/08/2017 kwaajili kukutana na wataalamu wa miguu watakaochukua VIPIMO kwaajili ya kutengenezewa miguu kulingana na maumbile yao.

"Nimepewa kazi ya MKOA kuhudumia MAKUNDI yote, nafahamu kwenye mkoa wangu wapo waliopata ajali na wengine wakavunjika miguu lakini PESA ya kupata miguu ya BANDIA ili waachane na magongo kwao imekuwa ni moja ya CHANGAMOTO, kutokana na sababu hiyo nimeona vyema nifikiri namna ya KUWASAIDIA wananchi ambao hawana UWEZO ili waweze kupata, nimefanikiwa kupata wadau watakaonipatia miguu ya kuhudumia wananchi 200" Nahii ni awamu ya kwanza ,Alisema Makonda.

Imetolewa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
10/08/2017
Andika kama ulivyopost kule insta napendaga uandishi wako mkuu big up sana
 
Similar Discussions

19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom