Mkuu wa Mkoa wa Dar Makonda awatangazia wananchi wa mkoa wake miguu ya bure

Kaka hapo ulikiwa unamaanisha nini?



Hivi kaka unafikiri huyu jamaa anajitambua, inakiwa shida kwa mtu kuamini kiwa huyu ni blood line ya Malecela Family, maana wote wanajitambu ni yeye tu

- HAHAHhahahaha binadam asiyejitambua ni wewe unayetumia majina ya bandia hahahahaha pole sana

le Mutuz
 
Mimi kama mtaalamu wa fani hii, mtu yeyote anayehitaji kiungo bandi iwe mguu, titi, mkono, sikio, na kiungo cha kuongeza nguvu (to reinforce weak limb) au kiti mwendo (wheelchair) lazima afanyiwe uchunguzi wa kina kuona kama anastahili kifaa husika na kitakavyomsaidia. Vinginevyo unawezakumwongezea matatizo zaidi badala ya kumsaidia.
Si kuna wataalam watawapima mguu sio km kiatu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
- HAHAHhahahaha binadam asiyejitambua ni wewe unayetumia majina ya bandia hahahahaha pole sana

le Mutuz
Ni kweli inawezekana mimi sijitambui, lakini sijafikia kiwango chako cha kutojitambua

Sijui katika hii picha kama kuna mtu ana umri hata nusu ya umri wako, nina uhakika kuwa baadhi ya uliokuwa nao hapo ni wajukuu zako
image.jpg


Daaah, hope hivyo viatu ni vyako
image.jpg
 
View attachment 562450
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda amefanikiwa kupata MIGUU YA BANDIA ya Kuhudumia wananchi MIA MBILI (200) itakayoweza kuwasaidia wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam wenye mahitaji.

Miguu hiyo yenye thamani ya Shilingi Milion 600 hadi bilioni 1.2 ENDAPO watu wote 200 watahitaji miguu yote miliwi itatolewa bila BILA MALIPO (bure) kwa wananchi waliopata ajali na kushimdwa kupata miguu hiyo kutokana na kushindwa KUMUDU gharama za kununua miguu hiyo ambapo kwa MGUU mmoja unagharimu Milion TATU (3,000,000)

Mhe MAKONDA amewataka wananchi WOTE wenye UHITAJI wa miguu ya BANDIA NA ambao hawana UWEZO wa kumudu GHARAMA kufika ofisini ya mkuu wa mkoa siku ya Jumatatu Tarehe 14/08/2017 na Jumanne Tarehe 15/08/2017 kwaajili kukutana na wataalamu wa miguu watakaochukua VIPIMO kwaajili ya kutengenezewa miguu kulingana na maumbile yao.

"Nimepewa kazi ya MKOA kuhudumia MAKUNDI yote, nafahamu kwenye mkoa wangu wapo waliopata ajali na wengine wakavunjika miguu lakini PESA ya kupata miguu ya BANDIA ili waachane na magongo kwao imekuwa ni moja ya CHANGAMOTO, kutokana na sababu hiyo nimeona vyema nifikiri namna ya KUWASAIDIA wananchi ambao hawana UWEZO ili waweze kupata, nimefanikiwa kupata wadau watakaonipatia miguu ya kuhudumia wananchi 200" Nahii ni awamu ya kwanza ,Alisema Makonda.

Imetolewa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
10/08/2017
Mnafiki mkubwa, akashughulikie ugumba wake kwanza.
Unamuongelea Daudi Albert Bashite wa Koromije anayeghushi vyeti vya Paul Makonda?

Time will tell

we ndio msemaji na mzungumzaji rasmi wa mkuu wa mkoa,hongera umejiongeza maana hata yeye bila kujipendekeza kwa Ritz asingefika hapo alipo,hongera kwa kutafuta fursa mkuu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom