Mkuu wa mkoa wa dar es salaam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkuu wa mkoa wa dar es salaam

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shine, Aug 7, 2011.

 1. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wana JF habarini za j2 natumai inakwenda salama pia na wenzetu waislam mnaendelea salama na mfungo. Mimi kinachonitatiza ni kwamba mpaka leo karibia mwaka unaisha tangia uchaguz wa mwaka jina na pia baraza la mawaziri kuteuliwa simjui MKUU WA MKOA WA DAR kwa yeyote anaemjua naomba anijuze kwani huenda ashateuliwa mimi nikawa sijaipata. Na pia mkoa unaathirika je kwa kukaa muda mrefu bila mkuu wake.<br />
  <br />
  Nawakilisha
   
 2. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,972
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  &#8203;Labda Dar inaongozwa moja kwa moja toka Magogoni!
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Unachoona ni ishara ndogo tu kukosekana kwa utawala bora
   
 4. Kitty Galore

  Kitty Galore JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  hii inaonyesha kuwa bila mkuu wa mkoa maisha yanaenda kama kawaida, hii inanipelekea kuamini kuwa hata bila rais tutasogea vilevile
   
 5. k

  kituro Senior Member

  #5
  Aug 7, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Gama ndiye kaimu wa mkuu wa mkoa wa dar
   
 6. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Dar inakaimiwa na mkuu wa mkoa wa Lindi, tangu mh muomba muongozo bungeni [lukuvi] achaguliwe kuwa uratibu na sera.
   
 7. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,613
  Trophy Points: 280
  kwa jinsi dar es salaam ilivyo kubwa na watu wengi,kama imeweza kukaa mda wote bila ya mkuu wa mkoa inamanisha kwamba wakuu wa mikoa wote hawana umuhimu.nchi bila wakuu wa mikoa inawezekana.so nafasi ya ukuu wa mkoa ni kitengo cha kulipania fadhila.
   
 8. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,011
  Trophy Points: 280
  Alikuwa anasubiriwa Matilda buriani amelize siku za maternity.
  So mda sii mrefu utampata.
  .
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Aug 8, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa.....mia!
   
 10. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #10
  Aug 8, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mh SAID MECK SADIQ anaongoza mikoa miwili LINDI na DAR, kweli nakubari ukuu wa mkoa/wilaya ni kitengo cha kulipana fadhila.
   
 11. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2011
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Huyu mzee meck sadik siku zote yuko pale ilala boma sijui kazi zake za lindi anafanya saa ngapi au na yeye kakaimisha ukuu wa mkoa?
   
 12. doup

  doup JF-Expert Member

  #12
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  Hivi hata waheshiwa hupata mimba na kuzaaa??, nilifili ukishakuwa mheshimia mambo hayo unakuwa umeshayapo kisogo.

  nafikiri tuwe na raisi Mmama, miezi tisa Mimba, miezi 4 Likizo ya uzazi dah!!. Ili jambo linabidi liangaliwe kwenye katiba mpya
   
 13. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #13
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Matlida Burian nimemuona jana Mlimani City mbona yuko fit kabisa- ila ''amechujuka''
   
 14. t

  tusichoke JF-Expert Member

  #14
  Aug 8, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 1,286
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hao ndio magamba,Tanga na kilimanjaro nayo inaongozwa na mkuu wa mkoa mmoja,kamanda Said karembo yaani ni full vituto,watu milioni arobaini hawafai kuwa wakuu wa mikoa mpaka wasubiriwe walewale wenye sifa za kifisadi
   
 15. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #15
  Aug 8, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Kuongoza kazi sio lelel mama
   
 16. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #16
  Aug 8, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,759
  Trophy Points: 280
  anapaaga na ungo nyakati zai nyte   
Loading...