Nteko Vano
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 434
- 111
Mfuko wa bima ya taifa wenyewe umeshindwa kwa wagonjwa wachache wanaoenda huko. Kiongozi makini huitaji kufikiri na kuchanganua mambo kabla ya kuongea.
Huu sasa ni upuuzi.......unakwepa gharama moja(kuongeza mishahara).......... na kuingia nyingine(kulipia hospitali bainafsi)
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Sadick amesema Serikali katika moja ya mikakati yake ya muda mfupi wa kupambana na mgomo wa Madaktari.. italipa Gharama za wananchi watakaokwenda kupata huduma kwenye hospitali binafci..
Source Channel 10..
Mytake.. Hivi wameshafanya mchanganuo na kujua gharama halisi ya kuwatibu hao wagonjwa..? Wanazo hizo hela..? Waache kuchanganya siasa na maisha ya watu..
tafadhali mwenye CV ya huyu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (aliyekaimu kwa muda mrefu) Mh. Said Meck Sadik atuwekee hapa.Sadick Meck Sadick need counselling from Dr. Nkya (a pyschiatrist). It seems there is something wrong up stairs. Even my STD I hero boy cant suggest the stupidity!
Hii inanikumbusha yule mfalme wa Romania aliyepinduliwa alipoambiwa kuwa wananchi wake hawana MKATE wa kula yeye akawaambia wasaidizi wake kama hawana MKATE basi wapeni KEKI! Tanzanian govt is full of MORON!
Utaambiwa mke wake alikuja kuninililia, kwamba mumewe kipato chake si kizuri, ndio maana nikaamua kumpa ukuu wa mkoa.Sadick Meck Sadick need counselling from Dr. Nkya (a pyschiatrist). It seems there is something wrong up stairs. Even my STD I hero boy cant suggest the stupidity!
Hii inanikumbusha yule mfalme wa Romania aliyepinduliwa alipoambiwa kuwa wananchi wake hawana MKATE wa kula yeye akawaambia wasaidizi wake kama hawana MKATE basi wapeni KEKI! Tanzanian govt is full of MORON!