Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam utusaidie

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
Kusimamia hizi sheria za kupiga muziki kwenye mabaa usiku mrefu bila kusimama. Tuna watoto, tuna wagonjwa.na kuna wengine wanahitaji kupumzika. Lakini huku Mbagala naona
 
Sio mabaa tu, hivi tunavyoongea Kuna jirani kafungulia mziki full blast, anayo yale maspika makubwa ya kwenye sherehe.
Ile sheria ya kelele chafuzi sijui iliishia wapi
 
Kusimamia hizi sheria za kupiga muziki kwenye mabaa usiku mrefu bila kusimama. Tuna watoto, tuna wagonjwa.na kuna wengine wanahitaji kupumzika. Lakini huku Mbagala naona
Tunaelekea uchaguzi mkuu kila kitu ruksaaaaa, unaweza anzisha duka la kuuza bangi weee weka tu bendera ya chama Cha mizimu
 
Back
Top Bottom