Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kukaa kifua wazi hivi unatufundisha nini dada zetu wa afrikasana/las v

Mkuu hivi hakuna dress code serekalini ?

Mafuriko jamani! Vest yake (don't ask me anazo ngapi) haikukauka sababu ya mvua:). Hahaahaaa:). Wazee wanataka kuonesha MAUMBILE-good for photos!
 
hii forum kiboko. mmewezaje kuipata hiyo picha? Nafikiri sabau ya joto kajisahau.
 
PM naye mbona kavaa saa kikike!! au hata wanaume wanavaaga hivyo!.
 
Mi sidhani nitamlaumu huyu mzee moja kwa moja namlaumu haswa mkewe sababu kisheri wakristo tunamini kifua cha mumeo ni wewe pekee ndie mwenye kukiona na kukichezea sasa hivi kuviweka hadharani inaleta picha si nzuri kwamba yoyoyte ruksa kukia approach...so mama alitakiwa kumwangalia mumewe kabla ajaondoka hiko kifua mzee unamwachia nani hivyo.....

hapo kwenye nyekundu ndio kwenye tatizo
 
Yuko bize na mgawo wa mashamba huko mabwepande.

nyepesi nyepesi ameshavuta heka 5 mpaka sasa kwa majina ya wat anakupa heka kadhaa unamwachia mbele ya safari mjini shule nani asiependa bwana kile cheo kinamaanisha ufie peponi
 
Wazungu wanasema 'bad tailoring'. Hata hivyo kinachonishangaza ni kwa mtu mzima kama mkuu wa kumkoa kutotambua hayo makosa. Hakuona kama kifua kiko wazi? Abadilishe fundi mara moja.
 
EMBU FIKIRIA UNAMKUTA BABA YAKO KIFUA WAZI HIVI MBELE YA WATOTO WENZAKO WA KIKE
UNAHISI NINI ??SORRY KWA NTKAOWACHOMA NAJARIBU KUWASAIDIA HAWA WATU WAWE NA HESHIMAKWENYE
UMATI WA WATU
14.jpg
Kwani anamatatizo gani, tena kavaa " Vazi la Taifa"
Wamasai mmewaona au mnawasikia tu?
 
Back
Top Bottom