Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, huu ni uchapakazi au kuchanganyikiwa?

Si wanahabari walisema hawatashirikiana naye

Siyo wote, mkuu.

Sisi wa Uhuru, Mzalendo, HabariLeo, Daily News na mengine ambayo ukitupatia za kwetu à. k. a "njuru " , aaah, hakuna kuzuga tunakuja tu tena unatuandalia na mwongozo wa tufanye nini ktk mkutano wako, aidha tucheke sana ama tunune tu ama tuvue nguo kabisa !!
 
Kwa hiyo Mbowe akiwa Dar hawezi kusemea matatizo ya wananchi wa Hai jimboni kwake kwa sababu yupo nje ya jimbo lake?
Bro...Kuna issue zipo ktk Mamlaka za utendaji wako ktk ngaz ya teuzi yako..hatuwezi kuvidiscus wakt ndivyo ilivyo. Ni sawa na kusema kwa nini Katekista anaoa ila Padri hawezi..hatuwez discus wakat ni miiko waliojiwekea ktk kanisa lao.
 
Na mimi nilishangaa kwanini Bashite alirukia kutangaza hiyo ziara ya PM wa Ethiopia( yeye anasema ISIOPIA) mapema asubuhi hata kabla Wizara husika hawajatangaza, na tena akiwa Dodoma....na akaishia tu kumtaja Magufuli mwanzo mwisho bila hata kuelezea ziara yenyewe inahusu nini
 
Gavana huwa anachaguliwa kwa kura za wanachi wa jimbo husika. So usifananishe hicho cheo na hivi vyeo vyetu vinavyotolewa kama Zawadi hapa Bongo.
Hata kama ni haramu lakini ndio utaratibu wetu kupitia katiba ya yetu.!
 
Ila inshort tubadilike watz hii sio issue yakujadili mda mrefu ivo kumjadili mtu ambae hatumpunguzii kitu kumsema hamjui tunapoteza muda? Mkuu ndo ashasema afanye kazi atamlinda...!!
 
Ila inshort tubadilike watz hii sio issue yakujadili mda mrefu ivo kumjadili mtu ambae hatumpunguzii kitu kumsema hamjui tunapoteza muda? Mkuu ndo ashasema afanye kazi atamlinda...!!
 
Humu ndani kuna vimeo kinoma yaani na bila shaka akina bashite wamejaa? Hivi mtu unatetea umbulula wa bashite kweli? Kazi ya waziri mwenye dhamani itangazwe na kihiyo? Kweli bashite ana matatizo makubwa sana tena sio kidogo. Sema tu mkubwa anambeba ila kuna tatizo kubwa na inadhihirisha kabisa kuwa kweli elimu ni mhimu sana kuliko hata busara na hekima sasa kolomije elimu=0=busara=0 na hekima=0 hii hali sio ya kizazi hiki labda enzi za mwalimu
 
Dodoma kuna Nchimbi dar kuna makonda sasa sijui Dodoma bashite ni nani? Hivi administration structure ikoje mn nahisi bashite kawa waziri
 
Nimesoma vichwa vinasomeka "makonda aufyata"

"makonda atetemeka mbele ya kamati"

"makonda aingia ubaridi"

"makonda asalimu amri"

"makonda achafua kiti cha bunge kwa jasho"

"makonda ujanja wote mfukoni"

"makonda alia mbele ya kamati"

Yani habari mbaya tu za Bashite ndiyo tunaziandika hatuna muda wa kumfagilia zero brain.
71cc393c7b9c228f91a27720079aee4d.jpg
Hiyo sura akilia utadhani anabakwa na mtu anayejua kuwa ana HIV
 
Humu ndani kuna vimeo kinoma yaani na bila shaka akina bashite wamejaa? Hivi mtu unatetea umbulula wa bashite kweli? Kazi ya waziri mwenye dhamani itangazwe na kihiyo? Kweli bashite ana matatizo makubwa sana tena sio kidogo. Sema tu mkubwa anambeba ila kuna tatizo kubwa na inadhihirisha kabisa kuwa kweli elimu ni mhimu sana kuliko hata busara na hekima sasa kolomije elimu=0=busara=0 na hekima=0 hii hali sio ya kizazi hiki labda enzi za mwalimu
Mbona mnamtangaza wakati mmekubaliana kumsusia
 
Back
Top Bottom