Mkuu wa Mkoa unaweka vipi upuuzi kama huu mtandaoni?

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,079
2,000
what is this? wote uliowataja hapo wana matatizo sana tu, Tyson alikuwa mwehu kwa pesa alizopata baada ya kutoka hood tena akiwa mdogo akafanya maujinga sana na yeye mwenyewe alikiri hilo later on, whitney houston kala sana unga na mmewe Bob na hata binti yao Bob kristine alikuja kurithi Uteja akafa na unga pia

Michael Jackson na R kelly walishakuwa cleared huko nyuma kuhusu u paedophile wao,ila 15 years ago wote tuliona video ya R kelly akimkojolea mdomoni binti wa miaka 14 cousin wa mwimbaji sparkle cha kushangaza akashinda case,michael jackson yeye aliwapa mamilioni kina Jordan chandler kuua kesi

Leo R kelly na Michael yamefumuka upya sababu ya documentaries za SURVIVING R KELLY NA LEAVING NEVERLAND.
Iko hivi bwana Gavana mkuu wa mkoa,hawa walitumika na system yao,yaani secret socities zao,famously Illuminati,kipindi wanalindwa huko miaka ya nyuma walikuwa wanahitajika,leo mambo yame change R kelly sio useful tena hata wakati Michael anakufa hakuwa useful kwao,the same jinsi walivyomshusha Nick minaj kumpandisha Card b.

Huo mfano wako wa Diamond sijui kukaa na mademu madale ni hovyo kabisa,R kelly anaishi na wale ma teenagers wa 19 years na ana wa control psychologically yaani STOCKHOLM SYNDROME haina tofauti na chama chako cha CCM kinavyotufanyia watanzania

umesema ni tuhuma tu,vipi wale uliowapa tuhuma tu na ukahakikiasha wanaingia sero ijumaa ili wasote tena inasemekana ulikuwa unaenda kuwatembelea usiku na KUWA TAUNT hadi mwana dada wa bongo movie alipotoka akakimbia chadema na kujifanya anakupenda kukupost na kukusifia,hiyo ni STOCKHOLM SYNDROME

Anyway nilichoshukuru umesema ni tuhuma tu hadi mahakama ithibitishe,sasa WALK THE TALK katika matendo na maneno yako wewe huwa unatuhumu,unahukumu ,unaumiza watu na kuharibu maisha yao .
pumba.PNG
 
Qwy

JF-Expert Member
Nov 23, 2018
1,790
2,000
Wow..! That's really something, bravo.
what is this? wote uliowataja hapo wana matatizo sana tu, Tyson alikuwa mwehu kwa pesa alizopata baada ya kutoka hood tena akiwa mdogo akafanya maujinga sana na yeye mwenyewe alikiri hilo later on, whitney houston kala sana unga na mmewe Bob na hata binti yao Bob kristine alikuja kurithi Uteja akafa na unga pia
Michael Jackson na R kelly walishakuwa cleared huko nyuma kuhusu u paedophile wao,ila 15 years ago wote tuliona video ya R kelly akimkojolea mdomoni binti wa miaka 14 cousin wa mwimbaji sparkle cha kushangaza akashinda case,michael jackson yeye aliwapa mamilioni kina Jordan chandler kuua kesi
Leo R kelly na Michael yamefumuka upya sababu ya documentaries za SURVIVING R KELLY NA LEAVING NEVERLAND.
Iko hivi bwana Gavana mkuu wa mkoa,hawa walitumika na system yao,yaani secret socities zao,famously Illuminati,kipindi wanalindwa huko miaka ya nyuma walikuwa wanahitajika,leo mambo yame change R kelly sio useful tena hata wakati Michael anakufa hakuwa useful kwao,the same jinsi walivyomshusha Nick minaj kumpandisha Card b.
Huo mfano wako wa Diamond sijui kukaa na mademu madale ni hovyo kabisa,R kelly anaishi na wale ma teenagers wa 19 years na ana wa control psychologically yaani STOCKHOLM SYNDROME haina tofauti na chama chako cha CCM kinavyotufanyia watanzania
umesema ni tuhuma tu,vipi wale uliowapa tuhuma tu na ukahakikiasha wanaingia sero ijumaa ili wasote tena inasemekana ulikuwa unaenda kuwatembelea usikuna KUWA TAUNT hadi mwana dada wa bongo movie alipotoka akakimbia chadema na kujifanya anakupenda kukupost na kukusifia,hiyo ni STOCKHOLM SYNDROME
Anyway nilichoshukuru umesema ni tuhuma tu hadi mahakama ithibitishe,sasa WALK THE TALK katika matendo na maneno yako wewe huwa unatuhumu,unahukumu ,unaumiza watu na kuharibu maisha yao .
View attachment 1042516
 
nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,079
2,000
Paul yupo sahihi
anayoyafanyaga ya kutuhumu na kuhukumu siyo alichokiandika hapo?nimeandika kuhusu STOKHOLM SYNDROME,kama huijui fanya ku google,unapoona mtu anapiga mke wake karibu kuua na yuke mama anakumbia achaneni na mimi nampenda mume wangu ujue kuna shida kubwa sana,hapo nimejibu hoja kubwa ya bwana gavana amabayo kajaribu kutoa mfano wa diamond na madale nyumbani
 
elfusifuri

Senior Member
Jul 25, 2018
167
250
Mkuu, nikupe pole na kupita tu. Bahati mbaya huyo kiongozi unayemsema sijawahi kukutana nae wala kunikwaza katika maisha yangu ya kila siku. Natumaini anatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa katiba na maagizo ya waliomteua. Ushauri wangu kwako, kama kweli amekukwaza, nenda Mahakamani upate tafsiri sahihi juu tuhuma zako kwake badala ya kupoteza muda hapa jamvini. Binafsi, sitarajii kama kuna mtu atanishawishi nimchukie au kumpenda sababu sichaguliwi maadui wala marafiki. Ila itakapotokea akaingia kwenye anga zangu, sitaishia kulalamika kama unavyofanya.
Wasalaam. Napita tu, kwaheri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Aug 6, 2018
4,337
2,000
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Paul Makonda ameamua kuweka wazi hisia zake juu ya sakata la unyanyasaji wanawake kingono linalomkabili nguli wa muziki wa RnB duniani, R. Kelly.

RC Makonda amesema kuwa haamini tuhuma hizo kama ni za kweli, kwani kuna mastaa kibao ambao walishawahi kutuhumiwa kesi za namna hiyo na baadae wakashinda.

Kuna Jambo limejificha hapa. Natamani tumsikilize tena R kelly. Inawezekana akawa mkweli, kwani wote hapo pichani wamewahi kupewa kesi za aina moja na mwisho jamii ikawaona kama wamechanganyikiwa. “ameeleza Makonda kwenye ukurasa wake wa Instagram na kumtolea mfano Diamond.

“Hivi kesho unaweza kutuambia kuwa @diamondplatnumzanawabaka wasichana na kuwafungia madale kweli? . Kwa sasa nimechagua upande wa R Kelly mpaka hapo baadae Mahakama itakapotoa hukumu, kwani Kwa sasa bado ni tuhuma.”

R. Kelly kwa sasa yupo nje kwa dhamana na bado upepelezi wa tuhuma za unyanyasaji kingono wanawake unaendelea.
 
Wick

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
8,335
2,000
anayoyafanyaga ya kutuhumu na kuhukumu siyo alichokiandika hapo?nimeandika kuhusu STOKHOLM SYNDROME,kama huijui fanya ku google,unapoona mtu anapiga mke wake karibu kuua na yuke mama anakumbia achaneni na mimi nampenda mume wangu ujue kuna shida kubwa sana,hapo nimejibu hoja kubwa ya bwana gavana amabayo kajaribu kutoa mfano wa diamond na madale nyumbani
Chriss brown alianza kupondwa baada ya yule binti kujitokeza sema alilala naye na kupewa mimba. Ilipokuja julikana ni uongo ilibidi Eve aombe msamaha kwa madongo yake!.
Weka akiba ya maneno!..
 
nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,079
2,000
Mkuu, nikupe pole na kupita tu. Bahati mbaya huyo kiongozi unayemsema sijawahi kukutana nae wala kunikwaza katika maisha yangu ya kila siku. Natumaini anatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa katiba na maagizo ya waliomteua. Ushauri wangu kwako, kama kweli amekukwaza, nenda Mahakamani upate tafsiri sahihi juu tuhuma zako kwake badala ya kupoteza muda hapa jamvini. Binafsi, sitarajii kama kuna mtu atanishawishi nimchukie au kumpenda sababu sichaguliwi maadui wala marafiki. Ila itakapotokea akaingia kwenye anga zangu, sitaishia kulalamika kama unavyofanya.
Wasalaam. Napita tu, kwaheri
mayor Boniphace Jackon alienda tume ya utumishi kuhusu vyeti na jina feki la jamaa,vipi kuna majibu yake?Nape alliunda tume kuchunguza uvamizi wa clouds kulazimisha flash yake icheze habari ya uongo kumdhalilisha Gwajima,vipi ,nini kilitokea?yeye mwenyewe anajua mahakama za USA zina nafuu kubwa ndiyo maana anasema anasubiria uamuzi wa mahakama kuhusu paedophile R kelly ila ingekuwa hapa msanii wake wa WCB anatuhumiwa hivyo yeye mwenyewe tu angekuwa mahakama tosha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
40,091
2,000
what is this? wote uliowataja hapo wana matatizo sana tu, Tyson alikuwa mwehu kwa pesa alizopata baada ya kutoka hood tena akiwa mdogo akafanya maujinga sana na yeye mwenyewe alikiri hilo later on, whitney houston kala sana unga na mmewe Bob na hata binti yao Bob kristine alikuja kurithi Uteja akafa na unga pia
Michael Jackson na R kelly walishakuwa cleared huko nyuma kuhusu u paedophile wao,ila 15 years ago wote tuliona video ya R kelly akimkojolea mdomoni binti wa miaka 14 cousin wa mwimbaji sparkle cha kushangaza akashinda case,michael jackson yeye aliwapa mamilioni kina Jordan chandler kuua kesi
Leo R kelly na Michael yamefumuka upya sababu ya documentaries za SURVIVING R KELLY NA LEAVING NEVERLAND.
Iko hivi bwana Gavana mkuu wa mkoa,hawa walitumika na system yao,yaani secret socities zao,famously Illuminati,kipindi wanalindwa huko miaka ya nyuma walikuwa wanahitajika,leo mambo yame change R kelly sio useful tena hata wakati Michael anakufa hakuwa useful kwao,the same jinsi walivyomshusha Nick minaj kumpandisha Card b.
Huo mfano wako wa Diamond sijui kukaa na mademu madale ni hovyo kabisa,R kelly anaishi na wale ma teenagers wa 19 years na ana wa control psychologically yaani STOCKHOLM SYNDROME haina tofauti na chama chako cha CCM kinavyotufanyia watanzania
umesema ni tuhuma tu,vipi wale uliowapa tuhuma tu na ukahakikiasha wanaingia sero ijumaa ili wasote tena inasemekana ulikuwa unaenda kuwatembelea usikuna KUWA TAUNT hadi mwana dada wa bongo movie alipotoka akakimbia chadema na kujifanya anakupenda kukupost na kukusifia,hiyo ni STOCKHOLM SYNDROME
Anyway nilichoshukuru umesema ni tuhuma tu hadi mahakama ithibitishe,sasa WALK THE TALK katika matendo na maneno yako wewe huwa unatuhumu,unahukumu ,unaumiza watu na kuharibu maisha yao .
View attachment 1042516
Labda kwanza tungejiuliza nini maana ya kubaka?

Je, tafsiri ya kubaka kama inavyotafsiriwa na wamarekani ndio hivyo hivyo itakavyotafsiriwa kwa Diamond?!
 
nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,079
2,000
Chriss brown alianza kupondwa baada ya yule binti kujitokeza sema alilala naye na kupewa mimba. Ilipokuja julikana ni uongo ilibidi Eve aombe msamaha kwa madongo yake!.
Weka akiba ya maneno!..
nani kazungumizia Chris brown?bwana gavana kasema R kelly anaishi na mabinti home kama wake zake which is true,sasa hiyo ndiyo base ya hoja yake....majuzi wakati Gayle king anamuhoji R kelly na wale mabinti ,ulisikia alichosema yule mwanamama mtangazaji?alitamani awatoroshe wale mabinti warudi nyumbani kwa wazazi wao,R kelly kaw brainwash vibaya mno and he was lurking behind in the dark like a lion wakati wanahojiwa akawa anataka kukatisha interview,hiyo ndiyo STOKHOLM SYNDROME,haina tofauti na kilichotokea kwa Tanzania sweetheart leo anamsifia jamaa aliyemlaza na kumdhalilisha central au ccm inavyotufanya watanzania wote haijalishi itafanya maisha yetu yawe magumu kiasi gani,yaani you are falling in love na MTESI WAKO ,anakuwa kama MUNGu wako
 
nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,079
2,000
Labda kwanza tungejiuliza nini maana ya kubaka?

Je, tafsiri ya kubaka kama inavyotafsiriwa na wamarekani ndio hivyo hivyo itakavyotafsiriwa kwa Diamond?!
lumumba mkoje?umesoma post ya bashite?kamtolea mfano diamond ku compare na issue ya R kelly,nikatolea mfano wa stokholm syndrome,mnaelewa lakini nyie watu?R kelly kaanza kugonga vitoto mda mrefu hadi alimuoa marehemu Aliyah akiwa na miaka 16,kina beyonce,kelly ,mitchelle wakiwa na miaka 16 yaani destinys child walitakiwa wafanye kazi na R kelly kama song writer na producer lakini mzee knowles alikataa sababu 20 years ago alijulikana tabia zake
sasa mku wa mkoa mzima unaandika mambo ya kiujuuuu juuu tu,aghhhhhhhhh
 
nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,079
2,000
Mkuu, nikupe pole na kupita tu. Bahati mbaya huyo kiongozi unayemsema sijawahi kukutana nae wala kunikwaza katika maisha yangu ya kila siku. Natumaini anatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa katiba na maagizo ya waliomteua. Ushauri wangu kwako, kama kweli amekukwaza, nenda Mahakamani upate tafsiri sahihi juu tuhuma zako kwake badala ya kupoteza muda hapa jamvini. Binafsi, sitarajii kama kuna mtu atanishawishi nimchukie au kumpenda sababu sichaguliwi maadui wala marafiki. Ila itakapotokea akaingia kwenye anga zangu, sitaishia kulalamika kama unavyofanya.
Wasalaam. Napita tu, kwaheri

Sent using Jamii Forums mobile app
mayor Boniphace Jackon alienda tume ya utumishi kuhusu vyeti na jina feki la jamaa,vipi kuna majibu yake?Nape alliunda tume kuchunguza uvamizi wa clouds kulazimisha flash yake icheze habari ya uongo kumdhalilisha Gwajima,vipi ,nini kilitokea?yeye mwenyewe anajua mahakama za USA zina nafuu kubwa ndiyo maana anasema anasubiria uamuzi wa mahakama kuhusu paedophile R kelly ila ingekuwa hapa msanii wake wa WCB anatuhumiwa hivyo yeye mwenyewe tu angekuwa mahakama tosha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom