Mkuu wa Mkoa, tunaomba Walimu waliohusika kumwalika Amber Rutty Shuleni wachukuliwe hatua

Mbona Gwajima juzi kasema kwani warembo wana shida gani?

mbona msando ni Mkuu wa wilaya?
 
Ni aibu. Mwalimu huyu naye bila hata akili anaonekana kushadadia uwepo wa Msanii huyu mwenye Sifa mbaya ya kusambaza Video yake ya Ngono Kinyume na Maumbile.

Inasikitisha sana. Na hata ukimwona vazi alilovaa msanii huyu ni la aibu. Anasimamishwa mbele ya wanafunzi wamwangalie alivyo kama ni model wao.

Kwa tukio hili tu ni haki walimu kumwagiwa mchanga,kurushiwa mayai viza n.k ni shule ya kipuuzi sana. Wazazi wanapaswa wakutane na mkuu wa shule hii. Ni jambo la aibu mtu huyu kuwa ni model wa wanafunzi hawa.

Mkuu wa Mkoa angalia matatizo mawili ya shule hii.

1. Tatizo la kukosa fensi
2. Tatizo la kumwalika ambaruti

View attachment 1909206
Acha wivu wa kike wewe. Ulitaka ualikwe wewe?
 
Ndio haya mambo kama ya Malaya wa kujiuza huko ughaibuni kina Mange.Kuwafanya watu maarufu .Au MTU anaitwa Kogogo ,nae anajifanya professional.
 
WE WAWAPI MKUU AMBER AMEJIREKEBISHA USIMHUKUMU KANA KWAMBA WEWE NDO UMEKAMILIKA SANA

2897534_PicsArt_08-24-08.01.01.jpg
Akina Mwa... Wengi huwa wanakuwa na akili. Wewe kwa nini mzazi wako alimdamganya baba yako?
 
Ni aibu. Mwalimu huyu naye bila hata akili anaonekana kushadadia uwepo wa Msanii huyu mwenye Sifa mbaya ya kusambaza Video yake ya Ngono Kinyume na Maumbile.

Inasikitisha sana. Na hata ukimwona vazi alilovaa msanii huyu ni la aibu. Anasimamishwa mbele ya wanafunzi wamwangalie alivyo kama ni model wao.

Kwa tukio hili tu ni haki walimu kumwagiwa mchanga,kurushiwa mayai viza n.k ni shule ya kipuuzi sana. Wazazi wanapaswa wakutane na mkuu wa shule hii. Ni jambo la aibu mtu huyu kuwa ni model wa wanafunzi hawa.

Mkuu wa Mkoa angalia matatizo mawili ya shule hii.

1. Tatizo la kukosa fensi
2. Tatizo la kumwalika ambaruti

View attachment 1909206
Punguza chuki
 
Back
Top Bottom