samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,495
- 24,212
MH MAKALA, kufuatia ajali ya basi la HBS barabara ya Mbeya - Tabora umeagiza Dereva, konda na tajiri wakamatwe kwa kutembeza gari bovu. Hivi hawa wamejiamulia tu kutembeza gari bovu kwa barabara?? Mkuu ulitakiwa uagize walioruhusu gari bovu kutembea kwenye barabara za tanzania wakamatwe na si dereva na konda, hapa hujatatua tatizo ila umeonyesha uoga kwa kudeal na wanyonge ambao sio level yako. NI NANI AMERUHUSU GARI BOVU KUTEMBEA BARABARANI? KUTOKA MBEYA MPAKA HAPO AJALI ILIPOTOKEA HILO BASI HALIJAKUTANA NA POLISI, HILO BASI NI MARA YA KWANZA KUSAFIRI BARABARANI AU KWENYE NJIA HIYO?? MH MAKALA TATUA TATIZO NA SI KUENDELEZA MAIGIZO!!