Mkuu wa mkoa kuwa msimamizi wa uchaguzi wa CCM. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkuu wa mkoa kuwa msimamizi wa uchaguzi wa CCM.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Captain22, Sep 30, 2012.

 1. Captain22

  Captain22 JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Nimepokea kwa masikitiko na mshangao mkubwa kitendo cha mkuu wa mkoa wa manyara Ndg Erasto Mbwilo kuwa msimamizi wa uchaguzi ndani ya CCM. Swali langu ni je mkuu wa mkoa ana majukumu gani kichama? Mkuu wa mkoa anamwakilisha raisi au mwenyekiti wa CCM?
  Source ITV NEWS
   
 2. nyotanjema

  nyotanjema Senior Member

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ni kada ndo maana hivi vyeo tunatakiwa tuvichambue kwenye katiba mpya
   
 3. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Matokeo; Dkt Mary Nagu kapata kura 628 Fredrick Sumaye kapata kura 481 !!! Ajiunge kwenye ile Bendi ya Kaskazini inayoongozwa na Dj makengeza na Director General wa kiwanda cha kuzalisha Uongo maana keshaanza kuamini Kauli ya vijana wa CCM pwani kuwa jina la Rais 2015 lipo mezani kwa Bwana mkubwa!
   
Loading...