Mkuu wa Mkoa Iringa ayakataa madawati 750

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,395
Habari wanaJF,

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Amina Juma Masenza ameyakataa madawati 750 yaliyokuwa yasambazwe katika shule za H/ Wilaya ya Kilolo kwa madai ya kutokidhi viwango.
 
kama ni ya msaada hana sababu ya kukataa ila kama ni hela ya serikali yupo sawa kabisa.
 
kama ni ya msaada hana sababu ya kukataa ila kama ni hela ya serikali yupo sawa kabisa.

Kama hayakidhi viwango kutokana na kuwa ya msaada bora ayakataae tu kwakuwa madhara ya kutokidhi viwango hayaangalii msaada au fedha ya umma - madhara ni madhara tu
 
Viwango vimethibitishwa na nani au yeye ana fani ya useremala kutoka veta? Aache mbwewe atatumbuliwa yeye sasa hivi.
 
1468224287636.jpg
 
Kama hayakidhi viwango kutokana na kuwa ya msaada bora ayakataae tu kwakuwa madhara ya kutokidhi viwango hayaangalii msaada au fedha ya umma - madhara ni madhara tu
waendelee kukalia mawe siyo?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom