Mkuu wa Mkoa Iringa ayakataa madawati 750


Kurzweil

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Messages
5,632
Likes
6,247
Points
280
Kurzweil

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined May 25, 2011
5,632 6,247 280
Habari wanaJF,

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Amina Juma Masenza ameyakataa madawati 750 yaliyokuwa yasambazwe katika shule za H/ Wilaya ya Kilolo kwa madai ya kutokidhi viwango.
 
Mzee

Mzee

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Messages
13,426
Likes
3,481
Points
280
Mzee

Mzee

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2011
13,426 3,481 280
Ikiwa kweli hayajakidhi viwango ni Jambo zuri
 
sawe6

sawe6

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Messages
528
Likes
261
Points
80
sawe6

sawe6

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2014
528 261 80
kama ni ya msaada hana sababu ya kukataa ila kama ni hela ya serikali yupo sawa kabisa.
 
marxlups

marxlups

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
10,147
Likes
4,616
Points
280
marxlups

marxlups

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
10,147 4,616 280
kama ni ya msaada hana sababu ya kukataa ila kama ni hela ya serikali yupo sawa kabisa.
Kama hayakidhi viwango kutokana na kuwa ya msaada bora ayakataae tu kwakuwa madhara ya kutokidhi viwango hayaangalii msaada au fedha ya umma - madhara ni madhara tu
 
M

mwasu

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2011
Messages
8,497
Likes
6,546
Points
280
M

mwasu

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2011
8,497 6,546 280
Viwango vimethibitishwa na nani au yeye ana fani ya useremala kutoka veta? Aache mbwewe atatumbuliwa yeye sasa hivi.
 
PRINCEHOPE

PRINCEHOPE

Member
Joined
Aug 28, 2013
Messages
92
Likes
59
Points
25
PRINCEHOPE

PRINCEHOPE

Member
Joined Aug 28, 2013
92 59 25
Ana uhalali wa kuyatilia shaka, na kuyakataa maana akikaa kimya anatumbuliwa yeye sasa
 
sawe6

sawe6

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Messages
528
Likes
261
Points
80
sawe6

sawe6

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2014
528 261 80
Kama hayakidhi viwango kutokana na kuwa ya msaada bora ayakataae tu kwakuwa madhara ya kutokidhi viwango hayaangalii msaada au fedha ya umma - madhara ni madhara tu
waendelee kukalia mawe siyo?
 
born again pagan

born again pagan

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Messages
2,033
Likes
843
Points
280
born again pagan

born again pagan

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2014
2,033 843 280
Msigwa ni janga aiseee.
Anatoa madawati fambastic namna hii...!!
 
S

samike

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Messages
592
Likes
180
Points
60
S

samike

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2012
592 180 60
yatakuwa yameungwa kwa superglue bila misumari
 

Forum statistics

Threads 1,237,311
Members 475,501
Posts 29,284,113