Mkuu wa Mkoa Arusha akwaa kisiki kwa madiwani wa CHADEMA leo

Mr. Mageuzi1992, just to remind you if you're not aware WE'RE TALKING ABOUT POLITICS not RELIGION(S) so mambo ya Bwana akiwa upande wetu.... sio mahali pake so let's not put in the same basket SACRALITY and PROFANITY!!!!!

wewe baki na Mungu wako bila ya kuwakwaza wengine na usimuingize ktk mambo ambayo si ya kwake - haya ni ya kwetu!!!!!
 
Jamani huyu kilaza RC wa AR alisema nini hadi madiwani wetu kuamua kutoka nje na kuapa kutokuhudhuria mikuta na vikao vyake?hata hivyo anaonekana ana kiherehere sana huyu ****,sijui ataishia wapi.ila naamini atalijua jiji,asilete ukenge na uhuni wa kujuana kwa ujinga na mkuu wa kaya.
 
Kadiri Kenge anavyozidi kukomaa ndivyo Ngozi yake inavyozidi kuwa Ngumu...I.E KADIRI SISIEM INAVYOTUMIA VIBARAKA WAKE KUNYANYASA WANANCHI WA ARUSHA NA WANACHADEMA NDIVYO HASIRA ZAO ZINAVYOZI''''
1. Waswahili wanasema Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni
2. Hasira Hasara!
3. Hakuna Marefu yasiyo na Mwisho(Ncha).
4. Ngoma Ikivuma sana Mwisho hupasuka

IPO SIKU NASEMA IPO SIKU HAWA WAPUMBAVU WATATAFUTA PAKUJIFICHA WASIPAONE!!!! HAKIKA INAKUJA ....WASOME ALAMA ZA NYAKATI.....BWANA AKIWA UPANDE WETU NI NANI ATAKUWA JUU YETU????

Nasikia ametoa order makamanda wote wakereketwa wafungulie kesi hata za kizushi ili wasumbuliwe na kujua serikali ipo, akiamni katika hilo litapungiza kasi ya wafurukutwa hao. Mpaka saizi ninavyopost kuna machalii wengi balaa wameshakumbana na kadhia hiyo.
 
Jamani huyu kilaza RC wa AR alisema nini hadi madiwani wetu kuamua kutoka nje na kuapa kutokuhudhuria mikuta na vikao vyake?hata hivyo anaonekana ana kiherehere sana huyu ****,sijui ataishia wapi.ila naamini atalijua jiji,asilete ukenge na uhuni wa kujuana kwa ujinga na mkuu wa kaya.

Alikuwa anajitia anatoa elimu kwa madiwani hao kuelezea CDM inayofanya si sahihi bila kujua kufanya hivyo kuliamsha munkari wao na kuamua kutoka nje ya ukumbi. Anachotaka kufanya ni kuwaga hao madiwani kwa kupandikiza chuki dhidi ya uongozi wa juu na Arusha hususani Lema.
 
Mshenzi huyo hana uwezo wa kuongoza ila eti rafiki wa rizi 1, alikuwa DC Bukombe akakataliwa, DC Bagamoyo huko walitishia kumuua na sasa Arusha, huko anakufa muda si mrefu, kama alishindwa kuwa DC hicho cheo hakiwezi,
 
Kama unaijua full CV yake pls iweke nina hamu sana ya kumjua huyu mtu CV imekaaje?
 
Rais yupo kwenye majaribio na haka ka RC kake hata amini kuwa kazi hii ya kulindana imeshtukiwa na watz, rc unatumika kama remote control halafu unasema utafunga mtu, aibu yako!!!!!!

Afu hata kufungwa hakuna anayeogopa now.Lema keshaonesha njia.Ukienda jela kwa sababu ya kupigania haki Mungu atakulipa siku moja na maadui zako wataaibika.
 
Back
Top Bottom