Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 20,361
- 38,604
Wakati fulani Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam aliwahi kusema kwamba anayo mamlaka ya kumhamisha mtu yeyote yule toka kwenye mkoa wake na mtu huyo akatoka. Kwa jinsi Mchungaji Gwajima matendo yake yalivyo na yanavyoharibu taswira ya Mkuu huyo wa mkoa kwa wananchi wake, kwa nini Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam asiyatumie madaraka hayo ya kuhamisha mtu mkoani kwake dhidi ya Gwajima?
Au kwa kuwa wanatoka wote Kolomije ndiyo maana anaachaa amchafue?
Au kwa kuwa wanatoka wote Kolomije ndiyo maana anaachaa amchafue?