The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,911
- 2,891
Nimemuona mkuu wa Mkoa wa Manyara akijigamba kwa mbwembwe nyingi sana kuwa eti utengenezaji madawati umefikia 100% ktk mkoa huo na kwamba hakuna mtoto anaekaa chini.
Swali l angu ni kuwa, ikiwa bosi wake akatuma vijana wake kwenda kuhakiki hayo madawati watayakuta kweli? Isije kuwa mkwara kama wa mama Anne Kilango.
Alikuwa na haraka gani ya kutoka na kutangaza? Si angesubiri muda ambao Waziri Mkuu ameutoa maalum kwaajili ya tathimini ya zoezi hilo ambao ni july 15! Viongozi wetu hawapendi kujifunza kwa makosa ya wenzao.