Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,480
- 30,152
- Thread starter
- #121
Kama unadai Jeshi la wananchi ndilo lenye wajibu wa kutafsiri sheria kujua ni nani anatoa kauli za uchochezi, ngoja nikuulize swali dogo tu, hivi na Jeshi la Polisi nalo litafanya kazi gani??Naona CDF yupo sawa kabisa wajibu wa jeshi sio kupambana na kulinda mipaka ya nchi tu kutoka kwa maadui wa nje huku likishuhudia hali ya amani ikiharibika nchini, bali pia kuzuia viashiria vyote vya uvunjifu wa amani ndani ya nchi. Yapo mambo yanayofanywa na watu ndani ya nchi ambayo yanaweza kupelekea nchi kuingia kwenye machafuko na uvunjifu wa amani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutofuatwa kwa sheria za nchi kwa makusudi kwa watawala ndiko kunakoweza kuleta machafuko nchini. OVA