Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 46,991
- 144,323
Hawa watu ni hovyo kabisa!
Ninachosema ni kuwa Mkuu wa majeshi ni lazima afahamu mipaka yake ya kikazi
Yeye na Jeshi lake wanapaswa wabaki (barracks) na kutulindia mipaka yetu ili tusivamiwe na maadui
Siyo wajibu wake kutafsiri kauli za kichochezi zinazotolewa na wanasiasa.
Wajibu huo awaachie mahakama, waliopewa mamlaka ya kutafsiri sheria nchini
Ndio mana kuongea hadharani kama palesio mahala pake kama alivyofafanua JF mmoja huko juu. Atajikuta anaijiingiza kwenye siasa japo nia ilikuwa kufikisha ujumbeKatiba iheshimiwe na watu wote, machafuko ya ndani kwenye nchi nyingi mara nyingi huwa yanaletwa na watawala kutofuata katiba.
You have hit the nail on the head. Uko sahihi uelewa wa utawala wa sheria na kufuata katiba kwa watu hawa ni sifuri. Mzigo mzito mpe......sio kutumia akiliTofauti ya msukuma n'a cow ni pembe na mkia.. Ukistaajabu ya meko na sirrro utayaona ya mobeyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lenu mmekariri maisha akiwa kama mkuu wa majeshi ni lazima ahakikishe usalama wa nchi si kwa mipaka tu hata ndani ya nchi ambapo kuna wasaliti kama nyie mnaotaka kuwaalika maadui ndani ya nchi.
Kama wewe hujatoa kauli ya uchochezi wasiwasi wako wa nini mliishi kwa mazoea kila kitu awamu ya tano kitawashangaza!
Tumemsikia wenyewe kwa masikio yetu, mkuu wa majeshi nchini, Venance Mabeyo, akiwapiga mkwara watanzania, kuwa wao kama Jeshi la wananchi nchini, wanafuatilia kwa karibu kile alichokiita kuwa ni kauli za kichochezi zenye nia ya kuleta machafuko nchini
Wajibu wa Jeshi la Wananchi nchini
Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, ibara ya 147(3) imesema wazi kuwa itakuwa marufuku kwa mwanajeshi yeyote kujiunga na chama chochote cha siasa nchini, na jukumu lao kubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu, kuhakikisha kuwa hatuvamiwi na nchi yeyote jirani. Mwisho wa kunukuu
Katiba ya nchi inasema wazi kuwa mwanajeshi yeyote hatakiwi kujiunga na chama chochote cha kisiasa na imeeleza kuwa wajibu wao mkubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu ili tusivamiwe. Sasa nilichokisikia kutoka kwa mkuu wa majeshi ndiyo wajibu wake kikatiba??
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,ya mwaka 1977, ibara ya 18(1) inaeleza wazi kuwa kila mwananchi yuko huru kutoa maoni yake, kuhusiana na uendeshaji wa nchi yake
Katiba hiyo hiyo ya nchi imeeleza wazi kuwa chombo pekee cha kutafsiri sheria ni mahakama na ndiyo wanaoweza kusema kuwa kauli iliyotolewa na mwanasiasa fulani ni ya kichochezi au laa
Sasa, kwa Mkuu wa majeshi nchini kupiga mkwara mzito kuwa eti Jeshi lake halitavumilia kauli yoyote ya kichochezi, siyo kuivunja Katiba ya nchi waziwazi na kuingilia mhimili wa mahakama kiutendaji?
Wao wanajeshi wanapaswa wabaki (barracks) na wajibu wao mkubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu na hawapaswi hata kidogo kuingilia mambo ya kisiasa nchini, kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wanataka kuleta machafuko nchini.
Mungu ibariki Tanzania
NI HASARA KWA TAIFA KUWA NA MKUU WA JESHI ASIYEJUA MIPAKA YA KAZI YAKE. AJIFUNZE SUDAN KWA EL BASHIRI. KAMA ANATAMANI SIASA AACHIE NGAZI HUKO JESHINI ZAIDI YA HAPO AFUNGE MDOMO WAKETumemsikia wenyewe kwa masikio yetu, mkuu wa majeshi nchini, Venance Mabeyo, akiwapiga mkwara watanzania, kuwa wao kama Jeshi la wananchi nchini, wanafuatilia kwa karibu kile alichokiita kuwa ni kauli za kichochezi zenye nia ya kuleta machafuko nchini
Wajibu wa Jeshi la Wananchi nchini
Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, ibara ya 147(3) imesema wazi kuwa itakuwa marufuku kwa mwanajeshi yeyote kujiunga na chama chochote cha siasa nchini, na jukumu lao kubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu, kuhakikisha kuwa hatuvamiwi na nchi yeyote jirani. Mwisho wa kunukuu
Katiba ya nchi inasema wazi kuwa mwanajeshi yeyote hatakiwi kujiunga na chama chochote cha kisiasa na imeeleza kuwa wajibu wao mkubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu ili tusivamiwe. Sasa nilichokisikia kutoka kwa mkuu wa majeshi ndiyo wajibu wake kikatiba??
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,ya mwaka 1977, ibara ya 18(1) inaeleza wazi kuwa kila mwananchi yuko huru kutoa maoni yake, kuhusiana na uendeshaji wa nchi yake
Katiba hiyo hiyo ya nchi imeeleza wazi kuwa chombo pekee cha kutafsiri sheria ni mahakama na ndiyo wanaoweza kusema kuwa kauli iliyotolewa na mwanasiasa fulani ni ya kichochezi au laa
Sasa, kwa Mkuu wa majeshi nchini kupiga mkwara mzito kuwa eti Jeshi lake halitavumilia kauli yoyote ya kichochezi, siyo kuivunja Katiba ya nchi waziwazi na kuingilia mhimili wa mahakama kiutendaji?
Wao wanajeshi wanapaswa wabaki (barracks) na wajibu wao mkubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu na hawapaswi hata kidogo kuingilia mambo ya kisiasa nchini, kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wanataka kuleta machafuko nchini.
Mungu ibariki Tanzania
Kweli mkuu.sometimes ukiwatisha watu unawafanya wajipange na kuwa aggressive zaidi. ni reaction ya kawaida ya wanyama na binadamu.
Absolutely trueMkuu tokea siku ile kamisheni ya jeshi imetumika kupokea wanasiasa wa ccm huku CDF akifurahia, rasmi nilijua jeshi limenajisiwa kwa kuwa tawi la ccm. Ni vyema wanajeshi wengine wanaoona huu mchezo ambao mkuu wao anataka kuwapeleka wakampa ukweli wake. Kama ana mahaba na rais atoke jeshini akapewe uwaziri ila sio kuchafua katiba kwa sababu ya madaraka aliyonayo.
Mkuu jeshini wanatumia nguvu tu, akili ni 0.Absolutely true
Hivi hawa watawala wetu hawajifunzi kile kilichotokea Zimbabwe na Sudan??
Akina Mugabe na Al Bashir waliwekeza kwa nguvu zote kwenye
Hivi huyu Jenerali Mabeyo anaisoma kweli hii Katiba yetu ya nchi??
Umeandika ukweli mtupu lakini tatizo kubwa ni kwa rais mwenyewe kwani na yeye anaongoza kwa amri na maelekezo yake binafsi hafuati katiba ingawa aliahidi kuilinda ndio maana anazunguka na CDF hata katika shughuli ambazo kiukweli hahitajiki lakini ni katika kutaka kuonesha nguvu na mabavu kwa kila hoja. Utamaduni wa kujibu hoja kwa hoja uliishia wakati wa JK kwani sasa ni hoja kwa risasi, hoja kwa kamata weka ndani na ukitoa hoja unaambiwa unatumiwa na mabeberu. Angalia spika naye akazi anayofanya ni kutekeleza maelekezo ya rais kuwa watoe nje halafu mimi nitashughulika nao huku nje badala ya kuacha hoja ijibiwe kwa hoja.Tumemsikia wenyewe kwa masikio yetu, mkuu wa majeshi nchini, Venance Mabeyo, akiwapiga mkwara watanzania, kuwa wao kama Jeshi la wananchi nchini, wanafuatilia kwa karibu kile alichokiita kuwa ni kauli za kichochezi zenye nia ya kuleta machafuko nchini
Wajibu wa Jeshi la Wananchi nchini
Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, ibara ya 147(3) imesema wazi kuwa itakuwa marufuku kwa mwanajeshi yeyote kujiunga na chama chochote cha siasa nchini, na jukumu lao kubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu, kuhakikisha kuwa hatuvamiwi na nchi yeyote jirani. Mwisho wa kunukuu
Katiba ya nchi inasema wazi kuwa mwanajeshi yeyote hatakiwi kujiunga na chama chochote cha kisiasa na imeeleza kuwa wajibu wao mkubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu ili tusivamiwe. Sasa nilichokisikia kutoka kwa mkuu wa majeshi ndiyo wajibu wake kikatiba??
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,ya mwaka 1977, ibara ya 18(1) inaeleza wazi kuwa kila mwananchi yuko huru kutoa maoni yake, kuhusiana na uendeshaji wa nchi yake
Katiba hiyo hiyo ya nchi imeeleza wazi kuwa chombo pekee cha kutafsiri sheria ni mahakama na ndiyo wanaoweza kusema kuwa kauli iliyotolewa na mwanasiasa fulani ni ya kichochezi au laa
Sasa, kwa Mkuu wa majeshi nchini kupiga mkwara mzito kuwa eti Jeshi lake halitavumilia kauli yoyote ya kichochezi, siyo kuivunja Katiba ya nchi waziwazi na kuingilia mhimili wa mahakama kiutendaji?
Wao wanajeshi wanapaswa wabaki (barracks) na wajibu wao mkubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu na hawapaswi hata kidogo kuingilia mambo ya kisiasa nchini, kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wanataka kuleta machafuko nchini.
Mungu ibariki Tanzania
Mkuu ungempa quote ya kiswahili kwani hata namba moja hapo hataelewa kitu!Absolutely true
Hivi hawa watawala wetu hawajifunzi kile kilichotokea Zimbabwe na Sudan??
Akina Mugabe na Al Bashir waliwekeza kwa nguvu zote kwenye
Hivi huyu Jenerali Mabeyo anaisoma kweli hii Katiba yetu ya nchi??
Ni kweli kabisa.Mkuu tokea siku ile kamisheni ya jeshi imetumika kupokea wanasiasa wa ccm huku CDF akifurahia, rasmi nilijua jeshi limenajisiwa kwa kuwa tawi la ccm. Ni vyema wanajeshi wengine wanaoona huu mchezo ambao mkuu wao anataka kuwapeleka wakampa ukweli wake. Kama ana mahaba na rais atoke jeshini akapewe uwaziri ila sio kuchafua katiba kwa sababu ya madaraka aliyonayo.
Ikitokea vita mahakimu na majaji ndiyo watasonga mbele?jeshi liko sahihi kuingilia kazi za serikali iwapo uzalendo umeshindikanankwanwaliopewandhaman hiyo, iwapo jeshi linfanyakzi nje ya nchi why lisifanye kazi ndani ya nchi?hasara wanazookoa hamzioni?Ninachosema ni kuwa Mkuu wa majeshi ni lazima afahamu mipaka yake ya kikazi
Yeye na Jeshi lake wanapaswa wabaki (barracks) na kutulindia mipaka yetu ili tusivamiwe na maadui
Siyo wajibu wake kutafsiri kauli za kichochezi zinazotolewa na wanasiasa.
Wajibu huo awaachie mahakama, waliopewa mamlaka ya kutafsiri sheria nchini
Mara nyingi sisi tunaojifanya kujua katiba tumekuwa tukisoma juujuu bila kingia ndani zaidi. Katiba kifungu cha pili ktk jambo hili kinasema Serikali itaanzisha na kusimamia vikosi mbalimbali vya ulinzi kwa ajili ya ulinzi wa mipaka na usalama wa Watu wake.Tumemsikia wenyewe kwa masikio yetu, mkuu wa majeshi nchini, Venance Mabeyo, akiwapiga mkwara watanzania, kuwa wao kama Jeshi la wananchi nchini, wanafuatilia kwa karibu kile alichokiita kuwa ni kauli za kichochezi zenye nia ya kuleta machafuko nchini
Wajibu wa Jeshi la Wananchi nchini
Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, ibara ya 147(3) imesema wazi kuwa itakuwa marufuku kwa mwanajeshi yeyote kujiunga na chama chochote cha siasa nchini, na jukumu lao kubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu, kuhakikisha kuwa hatuvamiwi na nchi yeyote jirani. Mwisho wa kunukuu
Katiba ya nchi inasema wazi kuwa mwanajeshi yeyote hatakiwi kujiunga na chama chochote cha kisiasa na imeeleza kuwa wajibu wao mkubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu ili tusivamiwe. Sasa nilichokisikia kutoka kwa mkuu wa majeshi ndiyo wajibu wake kikatiba??
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,ya mwaka 1977, ibara ya 18(1) inaeleza wazi kuwa kila mwananchi yuko huru kutoa maoni yake, kuhusiana na uendeshaji wa nchi yake
Katiba hiyo hiyo ya nchi imeeleza wazi kuwa chombo pekee cha kutafsiri sheria ni mahakama na ndiyo wanaoweza kusema kuwa kauli iliyotolewa na mwanasiasa fulani ni ya kichochezi au laa
Sasa, kwa Mkuu wa majeshi nchini kupiga mkwara mzito kuwa eti Jeshi lake halitavumilia kauli yoyote ya kichochezi, siyo kuivunja Katiba ya nchi waziwazi na kuingilia mhimili wa mahakama kiutendaji?
Wao wanajeshi wanapaswa wabaki (barracks) na wajibu wao mkubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu na hawapaswi hata kidogo kuingilia mambo ya kisiasa nchini, kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wanataka kuleta machafuko nchini.
Mungu ibariki Tanzania
Sijajua alilenga watu gani lakin kwa mujibu katiba jeshi halitakiw kujihusisha na mambo ya kiraia hata km ni uchochez sio kazi yao kushughurika nayo amwachie Sirro otherwise alilenga kujipendekeza tuLakini ni lazima aitii na kuifuata Katiba ya nchi ambayo ndiyo mwongozo wa mambo yote ya kiutendaji hapa nchini