Mkuu wa Majeshi, Venance Mabeyo ameamua kuanza kuivunja Katiba ya nchi?

Ninachosema ni kuwa Mkuu wa majeshi ni lazima afahamu mipaka yake ya kikazi

Yeye na Jeshi lake wanapaswa wabaki (barracks) na kutulindia mipaka yetu ili tusivamiwe na maadui

Siyo wajibu wake kutafsiri kauli za kichochezi zinazotolewa na wanasiasa.

Wajibu huo awaachie mahakama, waliopewa mamlaka ya kutafsiri sheria nchini

Mkuu tokea siku ile kamisheni ya jeshi imetumika kupokea wanasiasa wa ccm huku CDF akifurahia, rasmi nilijua jeshi limenajisiwa kwa kuwa tawi la ccm. Ni vyema wanajeshi wengine wanaoona huu mchezo ambao mkuu wao anataka kuwapeleka wakampa ukweli wake. Kama ana mahaba na rais atoke jeshini akapewe uwaziri ila sio kuchafua katiba kwa sababu ya madaraka aliyonayo.
 
Katiba iheshimiwe na watu wote, machafuko ya ndani kwenye nchi nyingi mara nyingi huwa yanaletwa na watawala kutofuata katiba.
Ndio mana kuongea hadharani kama palesio mahala pake kama alivyofafanua JF mmoja huko juu. Atajikuta anaijiingiza kwenye siasa japo nia ilikuwa kufikisha ujumbe
 
Tatizo lenu mmekariri maisha akiwa kama mkuu wa majeshi ni lazima ahakikishe usalama wa nchi si kwa mipaka tu hata ndani ya nchi ambapo kuna wasaliti kama nyie mnaotaka kuwaalika maadui ndani ya nchi.

Analinda mipaka ya nchi kwa kuruhusu kamisheni ya jeshi kutumika kupokea wanaccm?
 
Kama wewe hujatoa kauli ya uchochezi wasiwasi wako wa nini mliishi kwa mazoea kila kitu awamu ya tano kitawashangaza!

Ni kweli tutashangaa sana kamisheni ya jeshi kutumika kupokelewa wanaccm waliohama toka upinzani!
 
Tumemsikia wenyewe kwa masikio yetu, mkuu wa majeshi nchini, Venance Mabeyo, akiwapiga mkwara watanzania, kuwa wao kama Jeshi la wananchi nchini, wanafuatilia kwa karibu kile alichokiita kuwa ni kauli za kichochezi zenye nia ya kuleta machafuko nchini

Wajibu wa Jeshi la Wananchi nchini

Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, ibara ya 147(3) imesema wazi kuwa itakuwa marufuku kwa mwanajeshi yeyote kujiunga na chama chochote cha siasa nchini, na jukumu lao kubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu, kuhakikisha kuwa hatuvamiwi na nchi yeyote jirani. Mwisho wa kunukuu

Katiba ya nchi inasema wazi kuwa mwanajeshi yeyote hatakiwi kujiunga na chama chochote cha kisiasa na imeeleza kuwa wajibu wao mkubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu ili tusivamiwe. Sasa nilichokisikia kutoka kwa mkuu wa majeshi ndiyo wajibu wake kikatiba??

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,ya mwaka 1977, ibara ya 18(1) inaeleza wazi kuwa kila mwananchi yuko huru kutoa maoni yake, kuhusiana na uendeshaji wa nchi yake

Katiba hiyo hiyo ya nchi imeeleza wazi kuwa chombo pekee cha kutafsiri sheria ni mahakama na ndiyo wanaoweza kusema kuwa kauli iliyotolewa na mwanasiasa fulani ni ya kichochezi au laa

Sasa, kwa Mkuu wa majeshi nchini kupiga mkwara mzito kuwa eti Jeshi lake halitavumilia kauli yoyote ya kichochezi, siyo kuivunja Katiba ya nchi waziwazi na kuingilia mhimili wa mahakama kiutendaji?

Wao wanajeshi wanapaswa wabaki (barracks) na wajibu wao mkubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu na hawapaswi hata kidogo kuingilia mambo ya kisiasa nchini, kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wanataka kuleta machafuko nchini.

Mungu ibariki Tanzania
 
Tatizo letu liko pale pale siku zote, ni namna ya kuwateua watu kama hawa ktk nyadhifa hizi, ukweli ni kwamba utaratibu ni MBOVU NA WA HOVYO KUPINDUKIA.

Rais anapewa "Free Hand" ktk uteuzi kitu kinachomfanya ateue watu kwa upendeleo na hata kwa kupendelea watu wa kabila lake hata pale wanapokosa sifa na weledi wa kushika nyadhifa husika.

Kwa hali hii ambapo hakuna "Independent body empowered with the role of conducting vetting to the eligible candidates", tutegemee kuwaona akina Mabeyo wengi tu huko mbeleni kwani hata yeye ilisemekana kuwa "He didn't deserve the post but he won by courtesy of the now common nepotism being practised by the incumbent". So for him to utter such words is not something so strange.
 
Tumemsikia wenyewe kwa masikio yetu, mkuu wa majeshi nchini, Venance Mabeyo, akiwapiga mkwara watanzania, kuwa wao kama Jeshi la wananchi nchini, wanafuatilia kwa karibu kile alichokiita kuwa ni kauli za kichochezi zenye nia ya kuleta machafuko nchini

Wajibu wa Jeshi la Wananchi nchini

Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, ibara ya 147(3) imesema wazi kuwa itakuwa marufuku kwa mwanajeshi yeyote kujiunga na chama chochote cha siasa nchini, na jukumu lao kubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu, kuhakikisha kuwa hatuvamiwi na nchi yeyote jirani. Mwisho wa kunukuu

Katiba ya nchi inasema wazi kuwa mwanajeshi yeyote hatakiwi kujiunga na chama chochote cha kisiasa na imeeleza kuwa wajibu wao mkubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu ili tusivamiwe. Sasa nilichokisikia kutoka kwa mkuu wa majeshi ndiyo wajibu wake kikatiba??

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,ya mwaka 1977, ibara ya 18(1) inaeleza wazi kuwa kila mwananchi yuko huru kutoa maoni yake, kuhusiana na uendeshaji wa nchi yake

Katiba hiyo hiyo ya nchi imeeleza wazi kuwa chombo pekee cha kutafsiri sheria ni mahakama na ndiyo wanaoweza kusema kuwa kauli iliyotolewa na mwanasiasa fulani ni ya kichochezi au laa

Sasa, kwa Mkuu wa majeshi nchini kupiga mkwara mzito kuwa eti Jeshi lake halitavumilia kauli yoyote ya kichochezi, siyo kuivunja Katiba ya nchi waziwazi na kuingilia mhimili wa mahakama kiutendaji?

Wao wanajeshi wanapaswa wabaki (barracks) na wajibu wao mkubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu na hawapaswi hata kidogo kuingilia mambo ya kisiasa nchini, kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wanataka kuleta machafuko nchini.

Mungu ibariki Tanzania
NI HASARA KWA TAIFA KUWA NA MKUU WA JESHI ASIYEJUA MIPAKA YA KAZI YAKE. AJIFUNZE SUDAN KWA EL BASHIRI. KAMA ANATAMANI SIASA AACHIE NGAZI HUKO JESHINI ZAIDI YA HAPO AFUNGE MDOMO WAKE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichogundua huyu mkuu wetu ni mwoga sana hata kwenye swala la uongeaji bado kama ana woga fulani mbele ya mh rais na kikazi kama kashapata habari kama hizo alizosemea hapo ilitakiwa wazifanyie kazi kimya kimya sio kutangaza mbele ya adhara
 
Mkuu tokea siku ile kamisheni ya jeshi imetumika kupokea wanasiasa wa ccm huku CDF akifurahia, rasmi nilijua jeshi limenajisiwa kwa kuwa tawi la ccm. Ni vyema wanajeshi wengine wanaoona huu mchezo ambao mkuu wao anataka kuwapeleka wakampa ukweli wake. Kama ana mahaba na rais atoke jeshini akapewe uwaziri ila sio kuchafua katiba kwa sababu ya madaraka aliyonayo.
Absolutely true
 
Absolutely true
Hivi hawa watawala wetu hawajifunzi kile kilichotokea Zimbabwe na Sudan??
Akina Mugabe na Al Bashir waliwekeza kwa nguvu zote kwenye
Hivi huyu Jenerali Mabeyo anaisoma kweli hii Katiba yetu ya nchi??
Mkuu jeshini wanatumia nguvu tu, akili ni 0.
 
Tumemsikia wenyewe kwa masikio yetu, mkuu wa majeshi nchini, Venance Mabeyo, akiwapiga mkwara watanzania, kuwa wao kama Jeshi la wananchi nchini, wanafuatilia kwa karibu kile alichokiita kuwa ni kauli za kichochezi zenye nia ya kuleta machafuko nchini

Wajibu wa Jeshi la Wananchi nchini

Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, ibara ya 147(3) imesema wazi kuwa itakuwa marufuku kwa mwanajeshi yeyote kujiunga na chama chochote cha siasa nchini, na jukumu lao kubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu, kuhakikisha kuwa hatuvamiwi na nchi yeyote jirani. Mwisho wa kunukuu

Katiba ya nchi inasema wazi kuwa mwanajeshi yeyote hatakiwi kujiunga na chama chochote cha kisiasa na imeeleza kuwa wajibu wao mkubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu ili tusivamiwe. Sasa nilichokisikia kutoka kwa mkuu wa majeshi ndiyo wajibu wake kikatiba??

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,ya mwaka 1977, ibara ya 18(1) inaeleza wazi kuwa kila mwananchi yuko huru kutoa maoni yake, kuhusiana na uendeshaji wa nchi yake

Katiba hiyo hiyo ya nchi imeeleza wazi kuwa chombo pekee cha kutafsiri sheria ni mahakama na ndiyo wanaoweza kusema kuwa kauli iliyotolewa na mwanasiasa fulani ni ya kichochezi au laa

Sasa, kwa Mkuu wa majeshi nchini kupiga mkwara mzito kuwa eti Jeshi lake halitavumilia kauli yoyote ya kichochezi, siyo kuivunja Katiba ya nchi waziwazi na kuingilia mhimili wa mahakama kiutendaji?

Wao wanajeshi wanapaswa wabaki (barracks) na wajibu wao mkubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu na hawapaswi hata kidogo kuingilia mambo ya kisiasa nchini, kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wanataka kuleta machafuko nchini.

Mungu ibariki Tanzania
Umeandika ukweli mtupu lakini tatizo kubwa ni kwa rais mwenyewe kwani na yeye anaongoza kwa amri na maelekezo yake binafsi hafuati katiba ingawa aliahidi kuilinda ndio maana anazunguka na CDF hata katika shughuli ambazo kiukweli hahitajiki lakini ni katika kutaka kuonesha nguvu na mabavu kwa kila hoja. Utamaduni wa kujibu hoja kwa hoja uliishia wakati wa JK kwani sasa ni hoja kwa risasi, hoja kwa kamata weka ndani na ukitoa hoja unaambiwa unatumiwa na mabeberu. Angalia spika naye akazi anayofanya ni kutekeleza maelekezo ya rais kuwa watoe nje halafu mimi nitashughulika nao huku nje badala ya kuacha hoja ijibiwe kwa hoja.
 
Absolutely true

Hivi hawa watawala wetu hawajifunzi kile kilichotokea Zimbabwe na Sudan??

Akina Mugabe na Al Bashir waliwekeza kwa nguvu zote kwenye

Hivi huyu Jenerali Mabeyo anaisoma kweli hii Katiba yetu ya nchi??
Mkuu ungempa quote ya kiswahili kwani hata namba moja hapo hataelewa kitu!
 
Mkuu tokea siku ile kamisheni ya jeshi imetumika kupokea wanasiasa wa ccm huku CDF akifurahia, rasmi nilijua jeshi limenajisiwa kwa kuwa tawi la ccm. Ni vyema wanajeshi wengine wanaoona huu mchezo ambao mkuu wao anataka kuwapeleka wakampa ukweli wake. Kama ana mahaba na rais atoke jeshini akapewe uwaziri ila sio kuchafua katiba kwa sababu ya madaraka aliyonayo.
Ni kweli kabisa.

Wanajeshi wa vyeo vya chini hawapaswi wafuate nyayo za Bosi wao, ama sivyo watajikuta nao wamepotea njia
 
Ninachosema ni kuwa Mkuu wa majeshi ni lazima afahamu mipaka yake ya kikazi

Yeye na Jeshi lake wanapaswa wabaki (barracks) na kutulindia mipaka yetu ili tusivamiwe na maadui

Siyo wajibu wake kutafsiri kauli za kichochezi zinazotolewa na wanasiasa.

Wajibu huo awaachie mahakama, waliopewa mamlaka ya kutafsiri sheria nchini
Ikitokea vita mahakimu na majaji ndiyo watasonga mbele?jeshi liko sahihi kuingilia kazi za serikali iwapo uzalendo umeshindikanankwanwaliopewandhaman hiyo, iwapo jeshi linfanyakzi nje ya nchi why lisifanye kazi ndani ya nchi?hasara wanazookoa hamzioni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumemsikia wenyewe kwa masikio yetu, mkuu wa majeshi nchini, Venance Mabeyo, akiwapiga mkwara watanzania, kuwa wao kama Jeshi la wananchi nchini, wanafuatilia kwa karibu kile alichokiita kuwa ni kauli za kichochezi zenye nia ya kuleta machafuko nchini

Wajibu wa Jeshi la Wananchi nchini

Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, ibara ya 147(3) imesema wazi kuwa itakuwa marufuku kwa mwanajeshi yeyote kujiunga na chama chochote cha siasa nchini, na jukumu lao kubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu, kuhakikisha kuwa hatuvamiwi na nchi yeyote jirani. Mwisho wa kunukuu

Katiba ya nchi inasema wazi kuwa mwanajeshi yeyote hatakiwi kujiunga na chama chochote cha kisiasa na imeeleza kuwa wajibu wao mkubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu ili tusivamiwe. Sasa nilichokisikia kutoka kwa mkuu wa majeshi ndiyo wajibu wake kikatiba??

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,ya mwaka 1977, ibara ya 18(1) inaeleza wazi kuwa kila mwananchi yuko huru kutoa maoni yake, kuhusiana na uendeshaji wa nchi yake

Katiba hiyo hiyo ya nchi imeeleza wazi kuwa chombo pekee cha kutafsiri sheria ni mahakama na ndiyo wanaoweza kusema kuwa kauli iliyotolewa na mwanasiasa fulani ni ya kichochezi au laa

Sasa, kwa Mkuu wa majeshi nchini kupiga mkwara mzito kuwa eti Jeshi lake halitavumilia kauli yoyote ya kichochezi, siyo kuivunja Katiba ya nchi waziwazi na kuingilia mhimili wa mahakama kiutendaji?

Wao wanajeshi wanapaswa wabaki (barracks) na wajibu wao mkubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu na hawapaswi hata kidogo kuingilia mambo ya kisiasa nchini, kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wanataka kuleta machafuko nchini.

Mungu ibariki Tanzania
Mara nyingi sisi tunaojifanya kujua katiba tumekuwa tukisoma juujuu bila kingia ndani zaidi. Katiba kifungu cha pili ktk jambo hili kinasema Serikali itaanzisha na kusimamia vikosi mbalimbali vya ulinzi kwa ajili ya ulinzi wa mipaka na usalama wa Watu wake.

Maana yake ulinzi wa mipaka si wa JWTZ peke yake ni wa vikosi vyote vya majeshi yetu. Ndio maana leo hii mipakani kuna vikosi vya majeshi yetu yote, Polisi, Uhamiaji, JWTZ n.k. Lakini mbali na Katiba kuna sheria inayounda vyombo hivi. Sheria inayoeleza nini majukumu (mf) ya JWTZ wakati wa Vita na wakati wa amani. Mara nyingi hizi hatuziangalii tunajikita kwenye Katiba. Na katika ulinzi nchi inajilinda na adui. Na kuna adui wa nje na adui wa ndani. Huwezi kuondoa JWTZ katika ulinzi wa aina hizi mbili za maadui na adui wa ndani kwa kutumiwa au mwenyewe huanza kwa kuchochea. Statement ya Mabeyo inasema "Kwa KUSHIRIKIANA na vyombo vingine vya ulinzi tunaendelea kufuatilia viashiria vya uchochezi ..." Si wao wenyewe kama JWTZ. Na Wananchi tukae tukijua, wakuu hawa wa vyombo vya Ulinzi na Usalama sio maadui, kuwa huwa hawakai pamoja kujadiliana juu Ulinzi na Usalama unavyoendelea nchini, lazima kuna wakati wanakutana na kujadiliana. Tuendelee kuchambua je? Ni uvunjaji wa katiba?
 
Lakini ni lazima aitii na kuifuata Katiba ya nchi ambayo ndiyo mwongozo wa mambo yote ya kiutendaji hapa nchini
Sijajua alilenga watu gani lakin kwa mujibu katiba jeshi halitakiw kujihusisha na mambo ya kiraia hata km ni uchochez sio kazi yao kushughurika nayo amwachie Sirro otherwise alilenga kujipendekeza tu
 
Back
Top Bottom