Mkuu wa Majeshi, Venance Mabeyo ameamua kuanza kuivunja Katiba ya nchi?

Tumemsikia wenyewe kwa masikio yetu, mkuu wa majeshi nchini, Venance Mabeyo, akiwapiga mkwara watanzania, kuwa wao kama Jeshi la wananchi nchini, wanafuatilia kwa karibu kile alichokiita kuwa ni kauli za kichochezi zenye nia ya kuleta machafuko nchini

Wajibu wa Jeshi la Wananchi nchini

Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, ibara ya 147(3) imesema wazi kuwa itakuwa marufuku kwa mwanajeshi yeyote kujiunga na chama chochote cha siasa nchini, na jukumu lao kubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu, kuhakikisha kuwa hatuvamiwi na nchi yeyote jirani. Mwisho wa kunukuu

Katiba ya nchi inasema wazi kuwa mwanajeshi yeyote hatakiwi kujiunga na chama chochote cha kisiasa na imeeleza kuwa wajibu wao mkubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu ili tusivamiwe. Sasa nilichokisikia kutoka kwa mkuu wa majeshi ndiyo wajibu wake kikatiba??

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,ya mwaka 1977, ibara ya 18(1) inaeleza wazi kuwa kila mwananchi yuko huru kutoa maoni yake, kuhusiana na uendeshaji wa nchi yake

Katiba hiyo hiyo ya nchi imeeleza wazi kuwa chombo pekee cha kutafsiri sheria ni mahakama na ndiyo wanaoweza kusema kuwa kauli iliyotolewa na mwanasiasa fulani ni ya kichochezi au laa

Sasa, kwa Mkuu wa majeshi nchini kupiga mkwara mzito kuwa eti Jeshi lake halitavumilia kauli yoyote ya kichochezi, siyo kuivunja Katiba ya nchi waziwazi na kuingilia mhimili wa mahakama kiutendaji?

Wao wanajeshi wanapaswa wabaki (barracks) na wajibu wao mkubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu na hawapaswi hata kidogo kuingilia mambo ya kisiasa nchini, kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wanataka kuleta machafuko nchini.

Mungu ibariki Tanzania
Acha ajipigie mikwara yake ya kutumwa na mtukufu malaika toka chato lakini ajue kuwa watanzania wapo milion 50 na jwtz ni wachache sana mbele ya nguvu ya umma endapo wakiamua lolote lile, hakuna jeshi Duniani huweza kuzuia nguvu ya umma pindi wakiamua kuukataa Utawala wowote Duniani. Anapaswa kumshauri mtukufu malaika toka chato awe mungwana aache kumnyanyasa CAG kupitia mgongo wa Spika Ndungai, aache kuwabambikia kesi, kuwapiga Risasi kuwaonea kuwapora ushindi Wapinzani kwenye chaguzi mbalimbali nchini.
 
Absolutely true

Hivi hawa watawala wetu hawajifunzi kile kilichotokea Zimbabwe na Sudan??

Akina Mugabe na Al Bashir waliwekeza kwa nguvu zote kwenye

Hivi huyu Jenerali Mabeyo anaisoma kweli hii Katiba yetu ya nchi??

Kwanza yeye mwenyewe siyo chaguo sahihi la wanajeshi wote bali ni chaguo binafsi la magufuli kutokana na mda wake wa kustaafu kuwa umefika ndipo akaongezewa miaka kienyeji na kuendelea kuwepo humo huku akiminya stahiki kibao za asikari ikiwemo kuwaweka kambini mpaka saa 12 pasipo malipo ya over time.
 
Shida ni bwana yule aliyehamishia hazina sebuleni kwake

Sent using Jamii Forums mobile app

Waziri wa fedha hana Sauti hata Gavana wa Bank kuu hana kauli, mwenye kauli ni mtoto wake wa nje ambaye ndiyo Katibu mkuu wizara ya fedha, wamenunua ndege kienyeji na kumzuia CAG kuwakagua na sasa wamemuundia Zengwe aachie ngazi siri zao zisijulikane mapema.
 
Tumemsikia wenyewe kwa masikio yetu, mkuu wa majeshi nchini, Venance Mabeyo, akiwapiga mkwara watanzania, kuwa wao kama Jeshi la wananchi nchini, wanafuatilia kwa karibu kile alichokiita kuwa ni kauli za kichochezi zenye nia ya kuleta machafuko nchini

Wajibu wa Jeshi la Wananchi nchini

Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, ibara ya 147(3) imesema wazi kuwa itakuwa marufuku kwa mwanajeshi yeyote kujiunga na chama chochote cha siasa nchini, na jukumu lao kubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu, kuhakikisha kuwa hatuvamiwi na nchi yeyote jirani. Mwisho wa kunukuu

Katiba ya nchi inasema wazi kuwa mwanajeshi yeyote hatakiwi kujiunga na chama chochote cha kisiasa na imeeleza kuwa wajibu wao mkubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu ili tusivamiwe. Sasa nilichokisikia kutoka kwa mkuu wa majeshi ndiyo wajibu wake kikatiba??

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,ya mwaka 1977, ibara ya 18(1) inaeleza wazi kuwa kila mwananchi yuko huru kutoa maoni yake, kuhusiana na uendeshaji wa nchi yake

Katiba hiyo hiyo ya nchi imeeleza wazi kuwa chombo pekee cha kutafsiri sheria ni mahakama na ndiyo wanaoweza kusema kuwa kauli iliyotolewa na mwanasiasa fulani ni ya kichochezi au laa

Sasa, kwa Mkuu wa majeshi nchini kupiga mkwara mzito kuwa eti Jeshi lake halitavumilia kauli yoyote ya kichochezi, siyo kuivunja Katiba ya nchi waziwazi na kuingilia mhimili wa mahakama kiutendaji?

Wao wanajeshi wanapaswa wabaki (barracks) na wajibu wao mkubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu na hawapaswi hata kidogo kuingilia mambo ya kisiasa nchini, kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wanataka kuleta machafuko nchini.

Mungu ibariki Tanzania
Kwani katiba imeruhusu watu kutoa kauli zinazoashiria uvunjifu wa amani?
 
Hii katiba walishaisigina wanapowateua nafasi serikalini zenye matone ya siasa. Huwawahi ona ma DC na Ma RC wakiwa wamevaa magwanda kwenye mikutano ya chama .... na humo wamo masoja?

Maumivu yanaanza kidogo kodogoo

we mwache ajifanye mjanja si tunamcheki,ni wazi mkuu wa majeshi ameamua kuwa mwanasiasa
 
Kamamda unazungumzia katiba ipi...kama ya nyumbani kwako kaa nayo haituhusu..lakini kama katiba ya nchi ipo wazi na hakuna anayevunja katiba..nenda kapate tafsiri mahakamani kama unaona katiba imewekwa kando haifuatwi...msitake kutudanganya hapa wananchi..
Wananchi zaidi ya asilimia 90 tupo nyuma ya Magufuli..na hatujaona tatizo. Ni nyinyi watumbuliwaji na wakwepa kodi ndio mnatafuta chokochoko za kutunga..ili kuonekane kuna tatizo wakati hakuna..watanzania tunasema hatudanganyiki tenaaa..
Asilimia 90 ya mazuzu majizi mafisadi wapo nyuma Magufuli sisi asilimia 90 wafia nchi wananchi wote tunaomchukia mwizi fisadi Magufuli hatuko Naye 2020 must go
 
Naona CDF yupo sawa kabisa wajibu wa jeshi sio kupambana na kulinda mipaka ya nchi tu kutoka kwa maadui wa nje huku likishuhudia hali ya amani ikiharibika nchini, bali pia kuzuia viashiria vyote vya uvunjifu wa amani ndani ya nchi. Yapo mambo yanayofanywa na watu ndani ya nchi ambayo yanaweza kupelekea nchi kuingia kwenye machafuko na uvunjifu wa amani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumemsikia wenyewe kwa masikio yetu, mkuu wa majeshi nchini, Venance Mabeyo, akiwapiga mkwara watanzania, kuwa wao kama Jeshi la wananchi nchini, wanafuatilia kwa karibu kile alichokiita kuwa ni kauli za kichochezi zenye nia ya kuleta machafuko nchini

Wajibu wa Jeshi la Wananchi nchini

Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, ibara ya 147(3) imesema wazi kuwa itakuwa marufuku kwa mwanajeshi yeyote kujiunga na chama chochote cha siasa nchini, na jukumu lao kubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu, kuhakikisha kuwa hatuvamiwi na nchi yeyote jirani. Mwisho wa kunukuu

Katiba ya nchi inasema wazi kuwa mwanajeshi yeyote hatakiwi kujiunga na chama chochote cha kisiasa na imeeleza kuwa wajibu wao mkubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu ili tusivamiwe. Sasa nilichokisikia kutoka kwa mkuu wa majeshi ndiyo wajibu wake kikatiba??

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,ya mwaka 1977, ibara ya 18(1) inaeleza wazi kuwa kila mwananchi yuko huru kutoa maoni yake, kuhusiana na uendeshaji wa nchi yake

Katiba hiyo hiyo ya nchi imeeleza wazi kuwa chombo pekee cha kutafsiri sheria ni mahakama na ndiyo wanaoweza kusema kuwa kauli iliyotolewa na mwanasiasa fulani ni ya kichochezi au laa

Sasa, kwa Mkuu wa majeshi nchini kupiga mkwara mzito kuwa eti Jeshi lake halitavumilia kauli yoyote ya kichochezi, siyo kuivunja Katiba ya nchi waziwazi na kuingilia mhimili wa mahakama kiutendaji?

Wao wanajeshi wanapaswa wabaki (barracks) na wajibu wao mkubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu na hawapaswi hata kidogo kuingilia mambo ya kisiasa nchini, kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wanataka kuleta machafuko nchini.

Mungu ibariki Tanzania
Somo Katibu vizuru. Sio Kalinda mpaka tu. Na ndani ya nchi Kwa ruhusa ya Rais au kuombwa na mammals iliyoko. Unajuaje Kama Rais au mamlaka imeomba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachosema ni kuwa Mkuu wa majeshi ni lazima afahamu mipaka yake ya kikazi

Yeye na Jeshi lake wanapaswa wabaki (barracks) na kutulindia mipaka yetu ili tusivamiwe na maadui

Siyo wajibu wake kutafsiri kauli za kichochezi zinazotolewa na wanasiasa.

Wajibu huo awaachie mahakama, waliopewa mamlaka ya kutafsiri sheria nchini
Anlipa fadhila. Halafu si ajabu ukamkuta na kadi ya chama
 
Hivi huyu mzee hajajifunza kwa ile mikwara yake ya Kibiti ?

Hivi hajui hiyo sauti yake ikizoeleka kwa wananchi atadharaulika na mwisho atakapo takiwa kutoa tamko ataonekana kama Musiba au Polepole tu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani katiba imeruhusu watu kutoa kauli zinazoashiria uvunjifu wa amani?
Hivi ni yeye Mkuu wa majeshi ndiye anayeweza kutafsiri kauli za kichochezi??

Katiba inasema ni mhimili wa mahakama pekee ndiyo uliopewa mamlaka ya kutafsiri sheria nchini
 
Back
Top Bottom