Mkuu wa Majeshi, Venance Mabeyo ameamua kuanza kuivunja Katiba ya nchi?

Tumemsikia wenyewe kwa masikio yetu, mkuu wa majeshi nchini, Venance Mabeyo, akiwapiga mkwara watanzania, kuwa wao kama Jeshi la wananchi nchini, wanafuatilia kwa karibu kile alichokiita kuwa ni kauli za kichochezi zenye nia ya kuleta machafuko nchini

Wajibu wa Jeshi la Wananchi nchini

Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, ibara ya 147(3) imesema wazi kuwa itakuwa marufuku kwa mwanajeshi yeyote kujiunga na chama chochote cha siasa nchini, na jukumu lao kubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu, kuhakikisha kuwa hatuvamiwi na nchi yeyote jirani. Mwisho wa kunukuu

Katiba ya nchi inasema wazi kuwa mwanajeshi yeyote hatakiwi kujiunga na chama chochote cha kisiasa na imeeleza kuwa wajibu wao mkubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu ili tusivamiwe. Sasa nilichokisikia kutoka kwa mkuu wa majeshi ndiyo wajibu wake kikatiba??

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,ya mwaka 1977, ibara ya 18(1) inaeleza wazi kuwa kila mwananchi yuko huru kutoa maoni yake, kuhusiana na uendeshaji wa nchi yake

Katiba hiyo hiyo ya nchi imeeleza wazi kuwa chombo pekee cha kutafsiri sheria ni mahakama na ndiyo wanaoweza kusema kuwa kauli iliyotolewa na mwanasiasa fulani ni ya kichochezi au laa

Sasa, kwa Mkuu wa majeshi nchini kupiga mkwara mzito kuwa eti Jeshi lake halitavumilia kauli yoyote ya kichochezi, siyo kuivunja Katiba ya nchi waziwazi na kuingilia mhimili wa mahakama kiutendaji?

Wao wanajeshi wanapaswa wabaki (barracks) na wajibu wao mkubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu na hawapaswi hata kidogo kuingilia mambo ya kisiasa nchini, kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wanataka kuleta machafuko nchini.

Mungu ibariki Tanzania
Mm nadhani hao walioanza kutamka maneno ya uchochezi ndio wameanza wao kuvunja katiba kwahiyo kwahiyo lazima washughulikiwe pia kinyume cha katiba..na amani yetu ni muhimu zaidi kuliko katiba yako. Hongera CDF ww sio mtunza katiba ww ni mtunza amani nasi tunakutegemea kulinda amani ya ndani na nje ya mipaka yetu kwahiyo wasikuvunje nguvu hawa wanaotajataja katiba kwakua wao ndio wameanza kukanyaga katiba. Wanyooshe
 
Mabeyo anakaguaga mpaka miradi ya ujenzi ya serikali huyu ni mwanasiasa 100% sijui kama anajua wajibu wake kikatiba au anaongea kumfurahisha bosi wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachosema ni kuwa Mkuu wa majeshi ni lazima afahamu mipaka yake ya kikazi

Yeye na Jeshi lake wanapaswa wabaki (barracks) na kutulindia mipaka yetu ili tusivamiwe na maadui

Siyo wajibu wake kutafsiri kauli za kichochezi zinazotolewa na wanasiasa.

Wajibu huo awaachie mahakama, waliopewa mamlaka ya kutafsiri sheria nchini
Hawana kazi acha wasaidie polis na kubangua korosho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm nadhani hao walioanza kutamka maneno ya uchochezi ndio wameanza wao kuvunja katiba kwahiyo kwahiyo lazima washughulikiwe pia kinyume cha katiba..na amani yetu ni muhimu zaidi kuliko katiba yako. Hongera CDF ww sio mtunza katiba ww ni mtunza amani nasi tunakutegemea kulinda amani ya ndani na nje ya mipaka yetu kwahiyo wasikuvunje nguvu hawa wanaotajataja katiba kwakua wao ndio wameanza kukanyaga katiba. Wanyooshe
Wewe ushaisoma vizuri Katiba ya nchi yetu na kuielewa??

Hivi Jeshi la Ulinzi katika Katiba ya nchi yetu wapi limepewa mamlaka ya kushughulikia kauli za kisiasa??

Hayo ni mamlaka waliyopewa chombo cha mahakama pekee
 
Haya ni mawazo ya kipumbavu kabisa.jeshi kazi yake ni kulinda nchi na hiyo ni moja ya wajibu wao kulinda nchi ili iwe salama,siasa hapo iko wapi?shida ya waTanzania wengi ni kujifanya mnajua kila kitu,wakati mwingine ni kheri kukaa kimya kuliko kulopoka

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Kulinda nchi na raia wake, kuingilia maoni ya wananchi ni kinyume cha katiba
 
Tumemsikia wenyewe kwa masikio yetu, mkuu wa majeshi nchini, Venance Mabeyo, akiwapiga mkwara watanzania, kuwa wao kama Jeshi la wananchi nchini, wanafuatilia kwa karibu kile alichokiita kuwa ni kauli za kichochezi zenye nia ya kuleta machafuko nchini

Wajibu wa Jeshi la Wananchi nchini

Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, ibara ya 147(3) imesema wazi kuwa itakuwa marufuku kwa mwanajeshi yeyote kujiunga na chama chochote cha siasa nchini, na jukumu lao kubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu, kuhakikisha kuwa hatuvamiwi na nchi yeyote jirani. Mwisho wa kunukuu

Katiba ya nchi inasema wazi kuwa mwanajeshi yeyote hatakiwi kujiunga na chama chochote cha kisiasa na imeeleza kuwa wajibu wao mkubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu ili tusivamiwe. Sasa nilichokisikia kutoka kwa mkuu wa majeshi ndiyo wajibu wake kikatiba??

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,ya mwaka 1977, ibara ya 18(1) inaeleza wazi kuwa kila mwananchi yuko huru kutoa maoni yake, kuhusiana na uendeshaji wa nchi yake

Katiba hiyo hiyo ya nchi imeeleza wazi kuwa chombo pekee cha kutafsiri sheria ni mahakama na ndiyo wanaoweza kusema kuwa kauli iliyotolewa na mwanasiasa fulani ni ya kichochezi au laa

Sasa, kwa Mkuu wa majeshi nchini kupiga mkwara mzito kuwa eti Jeshi lake halitavumilia kauli yoyote ya kichochezi, siyo kuivunja Katiba ya nchi waziwazi na kuingilia mhimili wa mahakama kiutendaji?

Wao wanajeshi wanapaswa wabaki (barracks) na wajibu wao mkubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu na hawapaswi hata kidogo kuingilia mambo ya kisiasa nchini, kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wanataka kuleta machafuko nchini.

Mungu ibariki Tanzania
Tumemsikia wenyewe kwa masikio yetu, mkuu wa majeshi nchini, Venance Mabeyo, akiwapiga mkwara watanzania, kuwa wao kama Jeshi la wananchi nchini, wanafuatilia kwa karibu kile alichokiita kuwa ni kauli za kichochezi zenye nia ya kuleta machafuko nchini

Wajibu wa Jeshi la Wananchi nchini

Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, ibara ya 147(3) imesema wazi kuwa itakuwa marufuku kwa mwanajeshi yeyote kujiunga na chama chochote cha siasa nchini, na jukumu lao kubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu, kuhakikisha kuwa hatuvamiwi na nchi yeyote jirani. Mwisho wa kunukuu

Katiba ya nchi inasema wazi kuwa mwanajeshi yeyote hatakiwi kujiunga na chama chochote cha kisiasa na imeeleza kuwa wajibu wao mkubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu ili tusivamiwe. Sasa nilichokisikia kutoka kwa mkuu wa majeshi ndiyo wajibu wake kikatiba??

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,ya mwaka 1977, ibara ya 18(1) inaeleza wazi kuwa kila mwananchi yuko huru kutoa maoni yake, kuhusiana na uendeshaji wa nchi yake

Katiba hiyo hiyo ya nchi imeeleza wazi kuwa chombo pekee cha kutafsiri sheria ni mahakama na ndiyo wanaoweza kusema kuwa kauli iliyotolewa na mwanasiasa fulani ni ya kichochezi au laa

Sasa, kwa Mkuu wa majeshi nchini kupiga mkwara mzito kuwa eti Jeshi lake halitavumilia kauli yoyote ya kichochezi, siyo kuivunja Katiba ya nchi waziwazi na kuingilia mhimili wa mahakama kiutendaji?

Wao wanajeshi wanapaswa wabaki (barracks) na wajibu wao mkubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu na hawapaswi hata kidogo kuingilia mambo ya kisiasa nchini, kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wanataka kuleta machafuko nchini.

Mungu ibariki Tanzania
Ukabila ukabila ukabila
 
Ninachosema ni kuwa Mkuu wa majeshi ni lazima afahamu mipaka yake ya kikazi

Yeye na Jeshi lake wanapaswa wabaki (barracks) na kutulindia mipaka yetu ili tusivamiwe na maadui

Siyo wajibu wake kutafsiri kauli za kichochezi zinazotolewa na wanasiasa.

Wajibu huo awaachie mahakama, waliopewa mamlaka ya kutafsiri sheria nchini
Habari njema ni kwamba hadi wenzanke ndani ya jeshi hawamkubali sana....sema basi tu.
 
Unadhani unaweza kufanya kila anachosema mwananchi na ukawa na serikali salama?
Kulinda nchi na raia wake, kuingilia maoni ya wananchi ni kinyume cha katiba

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Siasa aliyofanya ni ipi pale.
Babeli lugha za uchochezi Tanzania hii utaambiwa zinatolewa na nani ?! Kesi karibu zote za uchochezi Tanzania hii ni za wapinzani wa CCM kisiasa .

Cdf alitakiwa kuzungumzia kazi zilizofanywa na jeshi lake. Na kusema wako imara na tayari . Si kusema maneno eti ya "uchochezi". Ambayo hutumiwa na wanasiasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CDF wa sasa hafahamu kuwa yeye ni nani kimalamka ndo maana ndo maana anaburuzwa hajui kwanini mkuu wa majeshi kapewa bendera yake hajui kwanini bendera ya nchi mwisho saa kumi 12 hafahamu kwanini mabegani mwake Kuna nyota nne na si tatu
 
Tumemsikia wenyewe kwa masikio yetu, mkuu wa majeshi nchini, Venance Mabeyo, akiwapiga mkwara watanzania, kuwa wao kama Jeshi la wananchi nchini, wanafuatilia kwa karibu kile alichokiita kuwa ni kauli za kichochezi zenye nia ya kuleta machafuko nchini

Wajibu wa Jeshi la Wananchi nchini

Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, ibara ya 147(3) imesema wazi kuwa itakuwa marufuku kwa mwanajeshi yeyote kujiunga na chama chochote cha siasa nchini, na jukumu lao kubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu, kuhakikisha kuwa hatuvamiwi na nchi yeyote jirani. Mwisho wa kunukuu

Katiba ya nchi inasema wazi kuwa mwanajeshi yeyote hatakiwi kujiunga na chama chochote cha kisiasa na imeeleza kuwa wajibu wao mkubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu ili tusivamiwe. Sasa nilichokisikia kutoka kwa mkuu wa majeshi ndiyo wajibu wake kikatiba??

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,ya mwaka 1977, ibara ya 18(1) inaeleza wazi kuwa kila mwananchi yuko huru kutoa maoni yake, kuhusiana na uendeshaji wa nchi yake

Katiba hiyo hiyo ya nchi imeeleza wazi kuwa chombo pekee cha kutafsiri sheria ni mahakama na ndiyo wanaoweza kusema kuwa kauli iliyotolewa na mwanasiasa fulani ni ya kichochezi au laa

Sasa, kwa Mkuu wa majeshi nchini kupiga mkwara mzito kuwa eti Jeshi lake halitavumilia kauli yoyote ya kichochezi, siyo kuivunja Katiba ya nchi waziwazi na kuingilia mhimili wa mahakama kiutendaji?

Wao wanajeshi wanapaswa wabaki (barracks) na wajibu wao mkubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu na hawapaswi hata kidogo kuingilia mambo ya kisiasa nchini, kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wanataka kuleta machafuko nchini.

Mungu ibariki Tanzania
Mkuu Marekani imepiga marufuku kambi za jeshi lao kuonyesha taaria za Habari, wao ni kupiga mziki na michezo tu sababu kuu ni kuogopa Jeshi lisije kugawanyika kwa habari za wanasiasa, maana yake kwao watambue tu kuwa Trump ndiye Rais wao na ndiye Amiri Jeshi Mkuu. Over.
 
Na Jeshi la Polisi kazi yake ni nini??

Kabla hujajibu hizo pumba zako, soma kwanza Katiba ya nchi, inayoelekeza majukumu ya wanajeshi wetu
Mkuu wa Majeshi (CDF) ndiye Mwenyekiti wa vyombo vya ulinzi na Usalama Nchini, IGP, Mkuu wa Magereza, Mkuu wa Uhamiaji wote wapo chini yake.
 
mnafikiri mnapoambiwa magufuli anataka kutawala maisha mnadhani ni masighara basi ndio hivyo mjiandae kisaikolojia.
 
Mabeyo ajue tu kuwa Watanzania wa leo Role Model wetu ni Profesa Assad, Kama tunajua kuwa tuna haki ya kikatiba kufanya tunalofanya basi tutafanya tu.
Yeye afanye majukumu yake aliyoainishiwa na katiba na wanancni awaache wafanye yao yaliyoko kwa mujibu wa katiba
 
Kama kila siku anakubali kuitwa kwenye mikutano ya kisiasa na anakubali tu aelewe kuwa anashiriki siasa.Wanaomuita wanataka awatishe watu anapoonekana.Naye ameshauingia mtego wa wanasiasa na kujikuta anaenda kinyume na katiba.CDF kuonekana kila siku na genge la wanasiasa haileti afya njema katika nchi inayoshiriki siasa za vyama vingi.Ni vema atulie asijivunjie heshima na kuanza kupata tamaa ya uongozi wa kisiasa.
Well said and please keep it up.
 
Back
Top Bottom