Mkuu wa Majeshi na Gavana wa Benki Kuu nani ana mkwanja analindwa na Ni nyeti kuliko mwingine

Sijajua nini maana ya kuwa na mkwanja lakini kisheria msahahara na marupurupu ya Gavana yanapangwa na Rais. Hii naona haijatajwa na Sheria kwa CDF ikimaanisha Utumishi ndio hupanga mshahara wake.
Kuhusu kulindwa zaidi sijajua unamaanisha nini maana hata kama unawaongoza mgambo hakuna mtu atakuuliza ukiwafanya wote wawe walinzi wako.. maana yake CDF atatumia wapiganaji haohao kuwa walinzi wake.
Gavana kulindwa itategemea utashi wake tu lakini atalindwa kama maafisa wengine Waandamizi wa Serikali km. kuwa na mlinzi, dereva ambaye anaweza kuwa mlinzi pia.n.k.
Kuhusu unyeti kufuatana na sheria zenyewe Rais lazima ateuwe Gavana wa Benki Kuu lakini siyo lazima ateuwe Mkuu wa Majeshi.. anaweza kuongoza Majeshi yeye kama Amiri Jeshi Mkuu (C-In-C) au akakasimu kwa Kamati ya Jeshi la Ulinzi ( DFC).. Niko tayari kwa ukosoaji wa kujenga..:)
Dah mkuu umeongea Mambo ambayo nilikuwa siyajui asante
 
Upo sahihi mkuu ila hapo kwenye amri kwa usalama wa Taifa ndo hatupo pamoja kiongozi.Usalama wa Taifa ni kikosi ambacho kimeundwa kwa ajili ya usalama wa Nchi na kiongozi wake(Raisi).
Kikosi hiki uwa kipo karibu sana na Raisi wa nchi na pia uwa kinalipoti moja kwa moja kwa Raisi,mara nyingi kikosi hiki uwa sana kitiifu kwa Raisi kuliko hata jeshi na uwa kinatumia silaha kubwa kabisa za kivita ambazo utumiwa na jeshi.uwa kipo tayari hata kuingia kwenye mapigano na jeshi pale ambapo jeshi likaonekana linatishia usalama wa Raisi.

Askari wa usalama wa Taifa na Askari wa jwtz baadhi ya mafunzo yao uwa sawa na hata uwezo wao unafanana.awa ndo watu wanaoakikisha hata kama Raisi kapinduliwa basi atakuwa salama muda wote.Ivi uwa ndo vikosi vitiifu sana kwa Raisi na uwa vinanufaika sana kuliko vikosi vingine.

*SPECIAL REPUBLICAN GUARD

Hiki kilikuwa kikosi kitiifu cha mbabe Saddam hussen, aliyekuwa Raisi wa IRAQ.kilikuwa na Askari zaidi ya elfu 1 wenye vifaa vya kivita.inasemekana walikuwa wanachukua mshahara mara 3 ya wanajeshi.

Mfano wa vifaa walivyokuwa wanavitumia
images%20(27).jpeg
images%20(26).jpeg
images%20(25).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
CDF naweza kuwa hata darasa la 7.
CDF ni mlinzi kama walala nje wengine.
CDF kazi yake ni kuhakikisha watu wanaishi kwa amani tu.
CDF ANAWEZA ONDOLEWA HATA RAIS AKISHAURIWA NA MKEWE.
GAVANA.. Lazima awe msomi tena mbobezi kwenye kada muhimu either UCHUMI, UHASIBU, FEDHA AU SHERIA.
GAVANA.. KATIBA INATAMKA WAZI HAWEZI ONDOLEWA HADI MUDA WA KUSTAAFU UFIKE.
GAVANA.. ANAJUA WAZI NAMNA GANI UCHUMI WA NCHI UNAELEKEA NA HATA KABLA CDF hajapeleka majeshi sehemu yoyote LAZIMA GAVANA AJULISHWE ILI ATOE MAELEZO SAHIHI JUU YA AKIBA NA KAMA ANA FEDHA ZA KUTOSHA KUENDESHA VITA.
Mwisho GAVANA ni anakula mkwanja mrefu kuliko CDF.. miaka ile ya Kikwete PROF NDULLU alikuwa anakunja MIL 40 per month.. CDF MIL 10+
MSAFARA SIO KITU MUHIMU HATA MAKONDA ANA MSAFARA MKUBWA ILA ANAKULA 4 MIL KAMA MSHAHARA WANGU TU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani watanzania kwa kujifanya tunajua ndoo maana hatuendelei.Sasa mleta uzi akijibiwa unapata hasara gani? Kama hujui si unakaa kimya? Mm sijui nani anapata mkwanja mrefu lakini siwezi sema eti haina mashiko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maswali ya kitoto....
shule ya msingi darasa la tatu kurudi chini...
ni upuuzi mtu mzima kuuliza hv!!!
 
Mleta mada unataka kuwaua mmojawapo au nini? Lengo lako nini kuongelea ulinzi wao?
 
Katika nchi zenye hali ya hatari kama Congo Kinshasa CDF ni mtu mzito na anakuwa na mpunga mnene sababu ya operations haziishi za kulinda nchi dhidi ya waasi lakini nchi zilizotulia Gavana anakula shavu nene. Kama wa bongo wote wanaoteuliwa tayari hawana njaa lakini bado wanapewa hse masaki kule karibu na havoc.

Profesa luoga alikuwa.anakuja kukata lecture chuo cha kodi hazimi range rover air condition inapepea hata masaa 2 akimaliza huyo anasepa. Pigeni shule vijana mpate kamba ndefu.
 
Katika nchi zenye hali ya hatari kama Congo Kinshasa CDF ni mtu mzito na anakuwa na mpunga mnene sababu ya operations haziishi za kulinda nchi dhidi ya waasi lakini nchi zilizotulia Gavana anakula shavu nene. Kama wa bongo wote wanaoteuliwa tayari hawana njaa lakini bado wanapewa hse masaki kule karibu na havoc.

Profesa luoga alikuwa.anakuja kukata lecture chuo cha kodi hazimi range rover air condition inapepea hata masaa 2 akimaliza huyo anasepa. Pigeni shule vijana mpate kamba ndefu.
Kwani Bakhresa kapiga shule mpaka level gani
 
Back
Top Bottom