Duuh funguka zaidimzee mnafiiki huyu.
mzee mnafiiki huyu.
Polesana Mkuu Mbuzi Mzee ulikuwa upo lupango...................
Mkuu Mbuzi Mzee Kuna Mwanamke mmoja humhumu ndani simtaji kwa jina kaniomba niitowe kwa heshima zake nimeitowa nifanyeje? Wewe bado Uso wa Mbuzi?Mkuu ile avater ya zamani vipi? Anyways naona sasa umekuwa C Powel, hongera zako, mimi bado ni Mbuthi Muthee
Mkuu Mbuzi Mzee Kuna Mwanamke mmoja humhumu ndani simtaji kwa jina kaniomba niitowe kwa heshima zake nimeitowa nifanyeje? Wewe bado Uso wa Mbuzi?
Hapa hakuna sincerity bali kutafuta cheap popularity, finish. Ni bahati mbaya kuwa mkuu wa kaya anapenda kupoteza muda kwenye mambo madogo na yasiyo na umuhimu huku akipuuzia yale makubwa na muhimu. Jikumbushe alivyohamanika kuhudhuria mazishi ya Kanumba huku akipuuzia kushughulikia mgomo wa madaktari. Shame on him!
mzee mnafiiki huyu.
Alama za mnafiqmzee mnafiiki huyu.
Alama za mnafiq
(1) Akizungumzahusemauongo,(2) Akiahidihatimizi (3) Akiaminiwahufanyakhiyana
This man is really MSANII siyo masikhalah!!!