Mkuu wa Kaya na Nanihiii

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
404019_221641104629376_2033757964_n.jpg
 
Hapa hakuna sincerity bali kutafuta cheap popularity, finish. Ni bahati mbaya kuwa mkuu wa kaya anapenda kupoteza muda kwenye mambo madogo na yasiyo na umuhimu huku akipuuzia yale makubwa na muhimu. Jikumbushe alivyohamanika kuhudhuria mazishi ya Kanumba huku akipuuzia kushughulikia mgomo wa madaktari. Shame on him!
 
Mkuu, kumbe jamaa ni wa shughuli shughuli, naona kamshika dada kama anataka kukumbatia mzigo,
 
hapo anawaza viungo vya dawa tu kutoka kwa shortie....jamaa bushman sana.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom