Mkuu wa Kaya ameoa mke mwingine?

Keykey

JF-Expert Member
Dec 1, 2006
3,250
740
Wanabodi nimeona hii nyepesinyepesi niiweke hapa ubaoni; inasemekana mkuu wa 'nji' ameoa mke mdogo hivi karibuni.

Hii imetokea Dar wiki 2 zilizopiata; najua kama kawaida yenu JF mtadai ushahidi lakini walioko Bongo wanalijua hili na wapo walohudhuria 'shughuli' yenyewe.
 
yawezekana kwani jamaa kwa totoz mbona toka longtime wamo sana huyu.
Walio kuwepo watakuja kumwaga news tu bila shaka.
 
jamani Dini yake inaruhusu hata wanne!kama ni kweli it is ok!
 
Wanabodi nimeona hii nyepesinyepesi niiweke hapa ubaoni; inasemekana mkuu wa 'nji' ameoa mke mdogo hivi karibuni.

Hii imetokea Dar wiki 2 zilizopiata; najua kama kawaida yenu JF mtadai ushahidi lakini walioko Bongo wanalijua hili na wapo walohudhuria 'shughuli' yenyewe.

What is the news here???
Mi niko bongo silijui hili....please provide evidence otherwise ni udaku!
 
Du Mbona Imekuwa Kwa Usiri Mkubwa Hivi??anyway Hata Waandishi Hawakualikwa?jamaa Naona Kama Yuko Busy Sana Watatu Huyu Sasa...duu Kweli Kila Mtu Na Fani Yake Na Hobbies Zake.....u Busy Ule Anaona,kufuatilia Na Kuoa Kabisa??hahaha Haya Heri Yake
 
jamani Dini yake inaruhusu hata wanne!kama ni kweli it is ok!

embu fikiria akiwa nao wanne nani ataumia kuwahudumia hao wanne si ni sisi wananchi kwani kila mmoja lazima atakuwa na bodyguard,mashangingi,nyumba..na ishu inakuja pale watakapo kuwa wanataka kuruka majuu huko nani atatumia ndege ya mungwana itakuwa vituko vitupu na vikumbo tu./
 
Mimi naona hakuna haja ya kulalamika!kwani tulimchagua tukifahamu kabisa!hivyo kama kaoa as far as ana uwezo wa kuwatunza ni sawa kabisa!
 
inawezekana jamaa haoni kama nchi inatingishika,ila wewe ndio unaona hivyo.Tatizo si kuoa,ila gharama za kuwatunza na mali atakazo wagawia au ngo atakazo wafungulia ili wajichotee mihela ndio kinachotisha na kutia shaka.
 
atajiju na wake zake. sisi tunataka nchi isonge mbele daima. ila asije aka-waste resources zetu kwani tutamshulikia kama mafisadi wenzake
 
Mimi naona hakuna haja ya kulalamika!kwani tulimchagua tukifahamu kabisa!hivyo kama kaoa as far as ana uwezo wa kuwatunza ni sawa kabisa!

ndio inaruhusu lakini tambua anamajukumu mengi sana....na watawezaje kuwaridhisha wote?Na kuwatunza ni fedha za walalahoi ndo zitakazo watunza.
 
Mzee ruhsa alioa wawili aliwazaje kuwatunza na kusimamia majukumu huyu ashindwe?
 
Jamani ndio fani yake sasa problem iko wapi?
Ninyi mwaona nchi yayumba yeye anaona inapaa na ndoo maana kaongeza wa tatu kama ishara ya mafanikio.
Kazi ipo ila tutafika tuu mdogo mdogo ivyo ivyo
 
Mzee ruhsa alioa wawili aliwazaje kuwatunza na kusimamia majukumu huyu ashindwe?

mzee ruksa aliwamudu.Huyu jamaa alisha onyesha mapungufu toka muda mrefu na kama ujuavyo mapenzi na kazi wapi na wapi?Ataegemea kwenye starehe na kushindwa kufanya maamuzi ya maana.
 
Wanabodi nimeona hii nyepesinyepesi niiweke hapa ubaoni; inasemekana mkuu wa 'nji' ameoa mke mdogo hivi karibuni.

Hii imetokea Dar wiki 2 zilizopiata; najua kama kawaida yenu JF mtadai ushahidi lakini walioko Bongo wanalijua hili na wapo walohudhuria 'shughuli' yenyewe.

Huu tunauita USHANSHUDA. Hata kama kaoa JF haitusaidi chochote na isitoshe kwa mtoto wa kiislam mpk Wake 4 Ruksa. Weka topic zenye akili wewe ina maana sasa hivi tumeishiwa jamani mbona wananchi bado wanazidi kulalamika.

kwani hawajafika tu hao wanne???!?

Tuhesabie wewe basi unaewajua. Mzee Mtaalam na wewe ni PIMP Mkuu?
 
Hollo

kwa radhi na ridhaa ya bi mkubwa eti si hivi hivi
Naamini wanawake wa kiislam wanatambua hilo kuwa mme wake anaweza ongeza jiko at any time!au siyo?hivyo mme akitaka kuongeza mke naamini bi mkubwa
lazima akubali!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom