Mkuu wa kaya alivyoshindwa kujibu maswali

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Mkuu wa kaya alienda kutembelea shule moja ya msingi,akaanza kujadili mada tofauti na wanafunzi kuhusu elimu,na mambo yanayozunguka jamii huku television zikimwonyesha na redio zikisikika hewani,alipomaliza kuongea
akaruhusu maswali,mara mwanafunzi mmoja akanyosha mkono na kusema anaitwa John,akaamza kuuliza maswali manne.
1)kwanini hukutimiza ahadi zako ulizotuambia wakati wa kampeni?
2)Nini maana ya ufisaidi?
3)kwanini unasafari za mara kwa mara?
4)Je una mpango gani wa kutupatia vifaa vya masomo shuleni kwetu?

*Mara kengele ya mapunziko ikagongwa bila kujibu maswali yao,akawaambia mapunziko ikiisha tu tutaendelea*

Mapunziko ilipoisha akawaambia..hivi tuliishia wapi?wakamjibu kwenye maswali.akauliza.kuna mwenye maswali?
Mwanafunzi mmoja anayeitwa Stanley akanyosha mkono na kuuliza?Mkuu wa kaya akamwuliza,una maswali ngapi?stanley akajibu sita,akaanza kuuliza maswali yake.
1)Kwanini hukutimiza ahadi zako ulizotuambia wakati wa kampeni?
2)nini maana ya ufisadi?
3)Kwanini una safari za mara kwa mara?
4)Je una mpango gani kutupatia vifaa vya masomo shuleni kwetu?
5)Kwanini kengele ya mapunziko iligongwa kabla ya mda wake wakati ulitakiwa kujibu maswali ya John?
6)Kwanini John baada ya kengele ya mapunziko kwisha hakurudi darasani?

*Mara tanesco wakakata umeme*
 
Jamaa moja alienda kuwinda porini,baada ya jua na joto kali akamua kuoga kwenye mto mdogo uliokatiza katikati ya msitu huo.
Ile anaoga wanyama wakaanza kumcheka.Jamaa akawauliza...
Jamaa:nye wanyama mnacheka nini?
Wanyama:sio kwamba tunakucheka,hatujawahi kuona mnyama mwenye mkia mbele.
 
Mlevi kachelewa kurudi kwake usiku,alipofika karibu na kwake ikabidi aanze kutunga cha kumdanganya mkewe ili afungue mlango.
alipofika mlangoni akaanza kugonga mlango...nimekuletea zawadi mrembo wangu fungua mlango, mrembo nimekuletea zawadi husikii?
mke kusikia hvo haraka haraka akaenda kufungua mlango,alipofungua mlango jamaa kaingia ndani...mke akaanza kumwuliza.
iko wapi zawadi yangu?jamaa anajibu ''kwani mrembo yuko wapi???
 
Teh teh teh yaelekea mkuu wa kaya kajipanga kwakukwepa maswali
 
Mkuu wa kaya alienda kutembelea shule moja ya msingi,akaanza kujadili mada tofauti na wanafunzi kuhusu elimu,na mambo yanayozunguka jamii huku television zikimwonyesha na redio zikisikika hewani,alipomaliza kuongea
akaruhusu maswali,mara mwanafunzi mmoja akanyosha mkono na kusema anaitwa John,akaamza kuuliza maswali manne.
1)kwanini hukutimiza ahadi zako ulizotuambia wakati wa kampeni?
2)Nini maana ya ufisaidi?
3)kwanini unasafari za mara kwa mara?
4)Je una mpango gani wa kutupatia vifaa vya masomo shuleni kwetu?
*Mara kengele ya mapunziko ikagongwa bila kujibu maswali yao,akawaambia mapunziko ikiisha tu tutaendelea*
Mapunziko ilipoisha akawaambia..hivi tuliishia wapi?wakamjibu kwenye maswali.akauliza.kuna mwenye maswali?
Mwanafunzi mmoja anayeitwa Stanley akanyosha mkono na kuuliza?Mkuu wa kaya akamwuliza,una maswali ngapi?stanley akajibu sita,akaanza kuuliza maswali yake.
1)Kwanini hukutimiza ahadi zako ulizotuambia wakati wa kampeni?
2)nini maana ya ufisadi?
3)Kwanini una safari za mara kwa mara?
4)Je una mpango gani kutupatia vifaa vya masomo shuleni kwetu?
5)Kwanini kengele ya mapunziko iligongwa kabla ya mda wake wakati ulitakiwa kujibu maswali ya John?
6)Kwanini John baada ya kengele ya mapunziko kwisha hakurudi darasani?
*Mara tanesco wakakata umeme*
kazi kwelikweli,huyo ndo JK Bhana.
 
Mara baada ya Exellent ku post tu, naye Kapewa BAN kwa kuwa naye alikuwepo pale shulen, teh teh teh teh..
 
2005 tulimweka madarakani ****** kwa nguvu ya wapamne wake, 2010 wote tulishajifunza na kujua uwezo mdogo wa akili za kufikiri za ******. iweje akapigiwa kura za ushindi 2010? Bila shaka hata yeye anatucheka kwa ujuha wetu hadi kumrudisha tena madarakani au pengine anatusanifu kwa ushindi wa mchakachuo
 
hahahaha...hii iko vizuri...umeme ukirudi wataendelea na kikao.....sijui kitatokea nini tena....
Mkuu wa kaya alienda kutembelea shule moja ya msingi,akaanza kujadili mada tofauti na wanafunzi kuhusu elimu,na mambo yanayozunguka jamii huku television zikimwonyesha na redio zikisikika hewani,alipomaliza kuongea
akaruhusu maswali,mara mwanafunzi mmoja akanyosha mkono na kusema anaitwa John,akaamza kuuliza maswali manne.
1)kwanini hukutimiza ahadi zako ulizotuambia wakati wa kampeni?
2)Nini maana ya ufisaidi?
3)kwanini unasafari za mara kwa mara?
4)Je una mpango gani wa kutupatia vifaa vya masomo shuleni kwetu?

*Mara kengele ya mapunziko ikagongwa bila kujibu maswali yao,akawaambia mapunziko ikiisha tu tutaendelea*

Mapunziko ilipoisha akawaambia..hivi tuliishia wapi?wakamjibu kwenye maswali.akauliza.kuna mwenye maswali?
Mwanafunzi mmoja anayeitwa Stanley akanyosha mkono na kuuliza?Mkuu wa kaya akamwuliza,una maswali ngapi?stanley akajibu sita,akaanza kuuliza maswali yake.
1)Kwanini hukutimiza ahadi zako ulizotuambia wakati wa kampeni?
2)nini maana ya ufisadi?
3)Kwanini una safari za mara kwa mara?
4)Je una mpango gani kutupatia vifaa vya masomo shuleni kwetu?
5)Kwanini kengele ya mapunziko iligongwa kabla ya mda wake wakati ulitakiwa kujibu maswali ya John?
6)Kwanini John baada ya kengele ya mapunziko kwisha hakurudi darasani?

*Mara tanesco wakakata umeme*
 
2005 tulimweka madarakani ****** kwa nguvu ya wapamne wake, 2010 wote tulishajifunza na kujua uwezo mdogo wa akili za kufikiri za ******. iweje akapigiwa kura za ushindi 2010? Bila shaka hata yeye anatucheka kwa ujuha wetu hadi kumrudisha tena madarakani au pengine anatusanifu kwa ushindi wa mchakachuo
mkuu huyu jamaa amekaa kimya,hoongei vya msingi ila anaongea chinichini,so wounderful
 
Yaani hii imenikumbusha kahabari fulani nilikasoma mahali fulani,
eti "walikuwepo madaktar wa3 mchina,mjerumani na mtanzania,katika kutoa changamoto za kazi zao mambo yalikuwa hivi;
Mjerumani>sisi kule kwe2 kuna jamaa alikuwa hana miguu tukamuwekea ya bandia sasa hivi amevunja record ya mwana riadha bora..
Mchina>sisi tulimuwekea mikono ya bandia jamaa ss hivi ni bondia wa ngumi za kulipwa.
Mtanzania>kule kwe2 alizaliwa mtt hana kichwa,tukamuwekea nazi kichwani na sasa ni rais"
HII INAONYESHA NI KIASI GANI MKUU WA KAYA ALIVYO KICHWA MAJI.
 
teh teh teh teh teh
 
Back
Top Bottom