Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Marekani Afrika afungua mazoezi ya kijeshi baina ya US na Tanzania

Chadema mnamatatizo sanaa..toka lini marekani akawa mlinzi wa haki na democrasia?? Ebu acheni bas uzwazwaa..yaan kisa gaidi namba moja yuko ndank baas mnapayuka payuka kuomba marekani awasaidie kwa mambo ya ndani ya nch zingine
Sasa mbona manawajaza kwenye vikosi vyenu?

Mbona na chanjo mmekopa kwao?
 
Mkakati wa Marekani ni kuzitawala nchi zote za dunia bila hizo nchi (watu walio wengi) kufahamu wanatawaliwa. If you're not free economically and politically and socially, you are just as timeserving as any other puppet nation in the world.
Na hiyo ndio inatia wasi wasi
 
Ni kweli usemacho US inaangalia maslahi yake. Lakino humo humo ilitumika kudhihiti viongozi wasiowaadilifu wanaonyanyasa wananchi wao kwa utawala wa kishetani. Utasema aah wapi mbona wanaiba madini na mafuta? Yes wanaiba madini lakini wananchi wana benefiti amani ma utulivu na demokrasia japo kwa uchache. Lakini tunapoelekea Madini na Gesi watachukua na wananchi tutalimia lami meno.
Hata wa China nao wanaangalia masilahi yao ndio maana hai support democracy na wa Africa marais wanaipenda China vile haiingilii siasa za nchi wao ni kutoa mikopo na kutumia rasilimali za wa Africa vizuri tu. So hapo hamna nafuu, bora hata marekani wanao support democracy
 
Hata wa China nao wanaangalia masilahi yao ndio maana hai support democracy na wa Africa marais wanaipenda China vile haiingilii siasa za nchi wao ni kutoa mikopo na kutumia rasilimali za wa Africa vizuri tu. So hapo hamna nafuu, bora hata marekani wanao support democracy
Magu alikimbia mabeberu akadhani atafaidi kwa wachina kwa kuwa hawaingilii migogoro ya kisaisa ya watu. Kule akakuta karuka mkojo kadondokea mavi. Karudi pyaa!
 
Your knowledge on politics, to be polite, is horrible. The individuals who rule the US are just those who rule China and Russia and the rest of the world. Open your eyes!!!
Go ahead and read this. It might be enlightening to your dark brain...
 
Unakumbuka vitangizi vitatu vya ukoloni afrika?

1. Wafanyabiashara
2. Wamisionari
3. Wapelelezi.

jifunze kubashiri yajayo usiwe na uoni wa karibu.

Kule Somalia na Ethiopia na hata Yemeni na Saudi Arabia mambo yalianza hivi hivi.
The history repeats itself. The guy don't know this. Perspective yako nakubaliana nayo 100 Kwa mia
 
Tukijadili hili swala kwa maslahi ya taifa tufikirie kuhusu kesho yetu. Tusidhani tuko salama sana.

Nachokiona ni kutaka kuuza nchi kwa maslahi y na tamaa za madaraka.
Marekani wakiamua mtawala wa nchi fulani atawale milele bila vurugu inawezekana. Aliweza kuigeuza Saudu Arabia kuwa ya kifalme wakati ilikuwa na utaratibu mwingine wa kiutawala.

Kwa tabia za hawa marais wa nchi zetu pale wanapoona tishio ktk uongozi wao wako tayari kuweka nchi rehani ili wasaidiwe ulinzi na mataifa yenye nguvu. hilo kwa nchi ya USA, Ufaransa na Urusi wako vizuri sana.

Ktk nchi zote duniani ambako Marekani kwa visingizio vya udumavu au tishio la usalama waliingiza vikosi vyao vya kijeshi( US miltary bases) nchi hizo hazikubaki salama hadi leo hazijatengamaa.

Mifano iko mingi michachi ni kama Somalia, Afighanistan, Uganda na Ethiopia.

Maeneo mengi waliingia kwa sababu za kupambana na ugaidi. Hadi leo nchi hizo hazitawaliki, hazina amani, ugaidi na uharifu wa kibinadamu na rasilimali umeongezeka mara dufu.

Tangu habari za Mboww kukamatwa kwa movie ya Ugaidi tunaona Mabeberu wakimiminika nchini. Kibachonishtua ni hawa makamanda wa AFCOM.

Je mama anataka kuweka rehani nchi ili wale maadui wa ndani wasimzingue? je tutasalimika??
Ukiona marekani wanakufagilia ujue umefanya kosa la uhaini mahali fulani kwa nchi yako...
 
Vita ipo katika kumiliki lango la afrika mashariki na kati pia,

Tanzania kijiografia imezungukwa na nchi kama nane hivi

Hivyo strategically ni eneo muhimu sana.

Baada ya kusikia mradi wa Bandari ya Bagamoyo naona nao wameamua kuja kuwin influence hapa.
 
Vita ipo katika kumiliki lango la afrika mashariki na kati pia,

Tanzania kijiografia imezungukwa na nchi kama nane hivi

Hivyo strategically ni eneo muhimu sana.

Baada ya kusikia mradi wa Bandari ya Bagamoyo naona nao wameamua kuja kuwin influence hapa.
mimi nilidhani ni baada ya kusikia Mbowe ni Gaidi😅😅
 
Your knowledge on politics, to be polite, is horrible. The individuals who rule the US are just those who rule China and Russia and the rest of the world. Open your eyes!!!
I agree with You. I have been thinking the same. Russia , US and China are very good friends.
 
US kagundua hawa madictator wengi wamechipuka baada ya kupata ushirikiano na China, hivyo anachofanya US sasa ni kwenda kwenye hizo nchi na kutengeneza urafiki. Kwa vyovyote hao madictator ni lazima watengeneze urafiki na US kwakuwa wanamuogopa, ila kwa makubaliano wasiwahoji kuhusu mambo yao ya ndani, lakini watawapa watakacho. Kwa sasa ccm imeshapoteza ushawishi wa kisiasa, hivyo namna pekee ni kuikubali Marekani na kuwapa chochote nyuma ya pazia, ili iendelee kukaa madarakani.
Yes ule ubavu wa ccm kuibagaza US haupo tena. Maana hawana ushawishi tena kwa Raia. Bora waungane na makafiri
 
..wewe labda umri wako ni mdogo.

..kwa taarifa yako Tanzania iliwahi kutimua maofisa wa ubalozi wa Marekani hapa nchini.

..Tanzania pia ilishawahi kuvunja mahusiano ya kidiplomasia na kuufunga ubalozi wa Ujerumani Magharibi.

..Sasa hivi tumekuwa watu wa kupiga domo tu na kudanganya-danganya wananchi kwa propaganda lakini hatuna msimamo wowote.

..Mwaka jana Tundu Lissu alisindikizwa na balozi wa Ujerumani mpaka uwanja wa ndege alipotokomea.

..Lissu ana kesi na alikuwa akihitajika mahakamani, lakini serikali na polisi wakaacha aondoshwe nchini na balozi wa Ujerumani.

..Jambo hilo lisingeweza kutokea wakati wa utawala wa Mwalimu Nyerere kwani wakati ule serikali na viongozi wetu walikuwa na misimamo na kamwe hawakuruhusu mabeberu watupande kichwani.
Haaahaaaaa...Sababu gani sasa hivi hatuna misimamo? Au bei yetu inajulikana?
 
Back
Top Bottom