Mkuu wa JKT atoa onyo kali kwa umma kuhusu nafasi za JKT

MZIBHAZI

JF-Expert Member
May 11, 2013
521
170
TANGAZO​
MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) ANAUTANGAZIA UMMA YA KUWA KWA SASA HAKUNA MCHAKATO WOWOTE WA UANDIKISHAJI VIJANA WA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA "KUJITOLEA" HADI ITAKAPOTANGAZWA.YEYOTE ANAYE TANGAZA,ANAYEUZA FORM ZA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA AKIBAINIKA HATUA KALI ZA KISHERIA ZITACHUKULIWA DHIDI YAKE.
TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA MAKAO MAKUU YA JKT
Chanzo: Tangazo.
 

Maliselo

JF-Expert Member
Jan 15, 2013
233
195
MKUU WA JKT ATOA ONYO KALI
KUUTANGAZIA UMMA
Dira
Kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga
Taifa, hatimaye Tanzania iwe ni jamii
yenye nidhamu, umoja, uzalendo,
undugu, wakakamavu na kupenda kazi.
Dhima
Kuwalea vijana wa Tanzania, kinidhamu,
uzalendo, ukakamavu na kuwafundisha
ujuzi na hatimaye kuchangia katika ulinzi
wa Taifa na maendeleo ya kiuchumi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom