Mkuu wa Intelijensia wa CHADEMA kanda ya Serengeti pamoja na M/kiti wa Bawacha Jimbo la Singida Mashariki Bi Anna Dulle wajiunga na TLP

Yani mpaka TLP wanavuna kutoka Chadema?.amakweli chadema ni mwajuma ndala ndefu
 

Attachments

  • IMG-20200526-WA0004.jpg
    IMG-20200526-WA0004.jpg
    31.4 KB · Views: 1
Mimi naomba namba nigombee Urais mkuu wangu

Au tayari mna mgombea
Walisha sema TLP imempitisha magufuli kuwa mgombea urais. Na wao nadhani wamepewa nafasi kadhaa za ubunge. Chukua fomu ya ubunge tunaweza kukuona mjengoni mkuu.
 
Halafu mrema hata ukiwa unahamia kwake yeye anaita waandishi anakupa na kadi yeye mwenyewe maana hataki unaa huyu mzee
 


Asante sana mkuu,

Au niangazie JAHAZI ASILIA wanaweza wakanipa fursa hiyo
Ulichelewa kidogo, ungesema mapema mkuu. Lakini tuombe mungu 2025 sio mbali. Na kabla hata ya kampeni tayari una kura 2 ya kwangu na ya mke wangu.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom