Encryption
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 995
- 1,339
Kimewaka
Ganda La Muwa La Jana Chungu Kaona Kivuno.Kimewaka
Basi sawaWatanzania wenzetu wasalaam,
Leo tumepokea wanachama wapya wawili toka CHADEMA
1. Oscar Kaijage Kaindoa
2. Bi Anna Dulle
Lyatonga bwana...such a waste of space!Watanzania wenzetu wasalaam,
Leo tumepokea wanachama wapya wawili toka CHADEMA
1. Oscar Kaijage Kaindoa
2. Bi Anna Dulle
Walisha sema TLP imempitisha magufuli kuwa mgombea urais. Na wao nadhani wamepewa nafasi kadhaa za ubunge. Chukua fomu ya ubunge tunaweza kukuona mjengoni mkuu.Mimi naomba namba nigombee Urais mkuu wangu
Au tayari mna mgombea
Hizi siasa zetu hizi! nyie twendeni tu tutafika.Watanzania wenzetu wasalaam,
Leo tumepokea wanachama wapya wawili toka CHADEMA
1. Oscar Kaijage Kaindoa
2. Bi Anna Dulle
Walisha sema TLP imempitisha magufuli kuwa mgombea urais. Na wao nadhani wamepewa nafasi kadhaa za ubunge. Chukua fomu ya ubunge tunaweza kukuona mjengoni mkuu.
Watanzania wenzetu wasalaam,
Leo tumepokea wanachama wapya wawili toka CHADEMA
1. Oscar Kaijage Kaindoa
2. Bi Anna Dulle
Ulichelewa kidogo, ungesema mapema mkuu. Lakini tuombe mungu 2025 sio mbali. Na kabla hata ya kampeni tayari una kura 2 ya kwangu na ya mke wangu.Nilitaka Urais mkuu
Mzee Mrema huwa hastaafu uenyekiti ?Watanzania wenzetu wasalaam,
Leo tumepokea wanachama wapya wawili toka CHADEMA
1. Oscar Kaijage Kaindoa
2. Bi Anna Dulle
Ulichelewa kidogo, ungesema mapema mkuu. Lakini tuombe mungu 2025 sio mbali. Na kabla hata ya kampeni tayari una kura 2 ya kwangu na ya mke wangu.
Wameona aibu kwenda CCM.
Hao wapo njiani kuelekea ccmKiwango kimepanda,Unatoka ligi kuu unaenda ligi daraja la pili.
Mimi naomba namba nigombee Urais mkuu wangu
Au tayari mna mgombea