Mkuu wa Chuo Cha Kikuu cha Mkwawa Aliyekula hela za Mikopo ya Wanafunzi naye Awajibishwe. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkuu wa Chuo Cha Kikuu cha Mkwawa Aliyekula hela za Mikopo ya Wanafunzi naye Awajibishwe.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kinyungu, Apr 21, 2012.

 1. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Juzi tarehe 21/04/2012 wakati wa kikao cha bunge jioni Mbunge wa Ludewa Mh. Deo Fulukunjombe alimtaja mkuu wa Chuo Cha Mkwawa kuwa alishiriki kula hela za mikopo ya Wanafunzi wa chuo hicho na hivyo kupelekea wanafunzi wa chuo hicho kugoma na hatimaye kupigwa mabomu na polisi.

  Mh. Fulukunjombe alienda mbali na kusema Wanafunzi waliopigwa mabomu walionewa na aliyestahili haswa kupigwa mabomu ni huyo mkuu wa Chuo hicho ambaye alikula hela ya wanafunzi na kupelekea mgomo ule.

  Kwa hili vugu vugu hili la uwajibikaji linalowakabili mawaziri wezi tunamtaka na mkuu huyo wa chuo cha mkwawa naye ajiuzulu na hatimaye sheria ichukue mkondo wake.

  Kama kuna anayejua jinala mkuu huyo atuwekee hapa
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Prof. Philimon Mushi anazijua ngawila toka tumboni mwa mama yake
   
 3. P

  Pilitoni JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 1,001
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hao ndio maprofesa wa kibongo ambao michango yao haionekani kwa taifa.Hakuna kuangalia uso wa m2 hapa,lishitakiwe haraka.
   
Loading...